Love bites na karaha zake

Love bites na karaha zake

I just real like love bites kwa kweli, na huwa sioni kero au aibu kua nazo shingoni, macho ya watu yapo tu hata iweje watayatoa as far as nimeolewa hivyo tendo watakalokua wamefikiria baada ya kutoa macho yao kwangu ndilo litakalokua limefanyika
 
Kama unamtia love bite wakati wa kufika kileleni hiyo mwambie awe anavaa skafu,pia huwa love bite inaleta magonjwa kama kansa
 
Wasalam wakuu,

Bila kupinda pinda ngoja niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu,

Ninapokuwa faragha na shemeji/wifi yenu huwa anapenda sana neck kisses and other romantic kisses, rangi yake yeye ni ya mtume from Dubai (Mweupe).

Sasa baada ya tendo lile pendwa akitoka hapo shingo yote inakuwa haitamaniki kwa love bites huwa anapata sana wakati mgumu anapotaka kwenda kwenye mishughuliko yake na mara nyingi anaishia kunilaumu mimi kutokana na karaha anazopata akiwa huko kwenye mishuguliko yake ya kila siku kwani wadada wenzake humzonga kwa maswali na wengine huishia kumtazama siku nzima kwenye shingo yake kitu ambacho kinampa kero.

View attachment 637574

Shida yangu ni moja kujua kama kuna any means unaweza kufuta zile love bites kwa muda mfupi maana humchukua siku 3, 4 kufutika au kama kuna technic ya kuzuia hizi love bites zisitokee.
Unaonekana kama na vinasaba vya kichaa cha mbwa,sasa kama hazitaki na anapata shida kutazamwa unamng'ata nini? msije na mada za kipuuzi hapa unafanya jambo linamuuzi mtu halafu unatuuliza sisi sasa tufanyeje wakati mhusika mwenyewe anakataa.
 
Kheri kinga kuliko tibaKanunue teeth protector uwe unaweka kwenye meno kama mabondia
6199aed6c00554c829a202db9b9e4725.jpg
Samahani bwana LuckDube ww na Ukhuty mna kaundugu ?
 
Wasalam wakuu,

Bila kupinda pinda ngoja niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu,

Ninapokuwa faragha na shemeji/wifi yenu huwa anapenda sana neck kisses and other romantic kisses, rangi yake yeye ni ya mtume from Dubai (Mweupe).

Sasa baada ya tendo lile pendwa akitoka hapo shingo yote inakuwa haitamaniki kwa love bites huwa anapata sana wakati mgumu anapotaka kwenda kwenye mishughuliko yake na mara nyingi anaishia kunilaumu mimi kutokana na karaha anazopata akiwa huko kwenye mishuguliko yake ya kila siku kwani wadada wenzake humzonga kwa maswali na wengine huishia kumtazama siku nzima kwenye shingo yake kitu ambacho kinampa kero.

View attachment 637574

Shida yangu ni moja kujua kama kuna any means unaweza kufuta zile love bites kwa muda mfupi maana humchukua siku 3, 4 kufutika au kama kuna technic ya kuzuia hizi love bites zisitokee.
ukiwa kwenye mtanange kuwa na bigijii nyingi ukitafuta katika mchezo.utasahau
 
Unaonekana kama na vinasaba vya kichaa cha mbwa,sasa kama hazitaki na anapata shida kutazamwa unamng'ata nini? msije na mada za kipuuzi hapa unafanya jambo linamuuzi mtu halafu unatuuliza sisi sasa tufanyeje wakati mhusika mwenyewe anakataa.

Pole sana mkuu, unaonekana kuna tatizo linakusumbua, ni vema ukatulia na kujua unasolve vipi shida zako, ikishindikana omba msaada wa kimawazo kwa watu wanaokuzunguka, hii style uliokuja nao kwenye huu uzi sio ya kawaida, kitu kingine sijui kama ulilazimishwa kuchangia kwenye huu uzi, pole sana kama huu uzi umekukera, uwe na siku njema.
 
I just real like love bites kwa kweli, na huwa sioni kero au aibu kua nazo shingoni, macho ya watu yapo tu hata iweje watayatoa as far as nimeolewa hivyo tendo watakalokua wamefikiria baada ya kutoa macho yao kwangu ndilo litakalokua limefanyika

Heheh kila mtu na ugonjwa wake, by the way nimependa unavyojiamini hasa hapo uliposema "sioni kero au aibu kua nazo shingoni"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom