KWA hio huwa wahalifu wanapasuliwa speakerHapo wanakaa watu wanne mezani, kila mmoja na karatasi nyeupe na penseli sio kalamu ya wino, then kuna mtu wa tano hua anitwa analyst anakua anaeleza kutokea kwanza shinyanga yule mtu aliishije huko, atakuja analyst wa pili wa kibaha ataeleza wale wanne watandelea kuchora michoro ya penseli kila mtu kivyake, halafu baadae kuna kitu tunaita added information hizi hutoka idara mbalimbali ikiwamo labda TISS , nazo zinachorwa wakati huo wahisiwa wa mwanzo walishakamatwa muda mrefu yaani afisa upelelezi jeshi la polisi wilaya atashirikiana na RCO na RSO wake issue mapema mchana kweupe baadhi ya waliokamatwa watafirwa na kufinywa mapumbu hapo anti robery ndio watahusika na zoezi ay watapigwa shot za matakoni hadi mambo yataisha within 30 days kesi mahakamani tayari upelelezi utaendelea kukamilishwa taratibu kwa kuua mawasiliano ya wahusika mmoja baada ya mwingine hadi wajichuje wenyewe kama kuku wenye mdondo pumbavu zao, wahalifu hao wa huyo binti
Lakini na polisi ya bongo majanga sana , siku 6 alizoishi baada kuchomwa sindano ya sumu na moto, polisi walitakiwa wameshashika baadhi ya watuhumiwa, ina maana walisubiria hadi afe ndio waanze uchunguzi??? inasikitisha sana.
KWA hio huwa wahalifu wanapasuliwa speaker
KWA hio huwa wahalifu wanapasuliwa speaker
Inasemwa boss wake tayari yuko lock up. Na kwa body language ya babaake inaonesha kuna mengi tayari yameshajulikana pengine waliweka pause kwanza wadili na mgonjwaLakini na polisi ya bongo majanga sana , siku 6 alizoishi baada kuchomwa sindano ya sumu na moto, polisi walitakiwa wameshashika baadhi ya watuhumiwa, ina maana walisubiria hadi afe ndio waanze uchunguzi??? inasikitisha sana.
Basi wao ndio uchangia mvua zisinyeshe mjiniMuulize mdude
Basi wao ndio uchangia mvua zisinyeshe mjini
Basi wao ndio uchangia mvua zisinyeshe mjini
Nina mashaka ya kibinadamu uko kitengo Arovera .. 'Mashaka ya kibinadamu'
nahisi wameanza kufuatilia baada ya kuona vyombo vya habari vishajuaLakini na polisi ya bongo majanga sana , siku 6 alizoishi baada kuchomwa sindano ya sumu na moto, polisi walitakiwa wameshashika baadhi ya watuhumiwa, ina maana walisubiria hadi afe ndio waanze uchunguzi??? inasikitisha sana.
Kwann ateswe hali hana madhara kwa taifaHua mdude akifika kwenye kipengele cha niliteswa sana anaanza kulia kama mtoto kabisa
Sio spika tu, kuna masheikh wa uamsho walilalamika kuingizwa mijiti njia ya haja kubwa,KWA hio huwa wahalifu wanapasuliwa speaker
Mzee codes zingine tunazimeza nzima nzima.Usimwage mtamaNina mashaka ya kibinadamu uko kitengo Arovera .. 'Mashaka ya kibinadamu'
Kweli jela za bongo kuzimu cha mtoto.Thus wakistaafu ufa masikini sababu ya laana ya kuchungulia walipotokaSio spika tu, kuna masheikh wa uamsho walilalamika kuingizwa mijiti njia ya haja kubwa,
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app