Loose ends Kifo cha Martha Towo

Kiintelenjensia.
Hakuna muhalifu yeyeto Smart ni lazima ataacha tu alama pa kuanzia. Watu wakiingia mitamboni mbona sekunde tu wauaji udakwa chapu.

Hapo pa kuanzia ni sehemu mbili tu ishu ya mapenzi au kazini. Tap call zake zote kuanzia siku ya tukio rudi nyuma hata miezi 3 ukizisikiliza zitakupa starting point na lazima utampata tu muuaji.

Ipo hivi, Kabla ya mauaji huwa ni lazima mawasiliano ya simu uwepo yakiwa na nia ya urafiki na sio hitimisho la mauaji, mauaji huja baada ya kushindwa kufikiana kwa muafaka. Kosa kubwa la wauaji ushindwa kutambua back walitumia simu kuongea.
KWA hili unaweza tumia
1.Technologia ya mawasiliano kupitia call recording
2.White magic pia ukupa picha ya tukio zima.

Ukimsikiliza baba yake anaongea codes ni kama kuna kitu anakihisia ambacho kina uelekeo wa ukweli sababu alikuwa karibu na binti yake kuna mambo alishea nae thus hakutaka kufunguka sana.

Kifupi hakuna muhalifu smart popote duniani hata awe na akili au ujanja vipi ni lazima ataacha shaka. Technology na white magic haziongopi. Labda tu wahanga waamue tu kumuachia Mungu , KARMA
 
Prior investigative analyses of the criminal, umeielezea vizuri na watatenga mienendo na maisha ya marehemu katika miezi tisa, yaani itakua vipindi vya miezi mitatu mitatu hapo watafahamu kila kitu hadi kufikia mauaji, hiyo ni Simple traced crime kwani iko wazi kabisa, hapo wataalamu wa cyber wa jeshi la polisi kwa kushirikiana na wenzao wa upelelezi hawatochukua muda kufahamu kilichotokea.

Bado kama nilivosema wahalifu kwenye nchi maskini ni rahisi sana kukamatwa kwa sababu hupanga mipango yao bila kutumia akili wala weledi, naamini uchunguzi wa siku 30 utatosha kabisa kunasa wauaji japo assumptions za mwanzo itakua ni mapenzi, dhulma ndio sababu ya kifo hicho, na ukweli utajulikana.
 
Wakasema siku ya tukio, alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake, wa Shinyanga. Kuwa wanasafiri watapitia hapo Kibaha, wamsalimu mara moja.[emoji3064][emoji848]---imeisha iyo
 
Uchambuzi makini
 
Wakasema siku ya tukio, alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake, wa Shinyanga. Kuwa wanasafiri watapitia hapo Kibaha, wamsalimu mara moja.[emoji3064][emoji848]---imeisha iyo
Mimi wasiwasi wangu, huenda hata hawakuwa kweli wafanyakazi wenzake. Ni hiyo miuaji ikajifanya ni wao. Labda wanajua majina ama wamepewa. Siku ya kufa aah asingetoka Kanisani, mpaka mwisho aondoke na familia.
 
One of the major changes that occur in the body after death is corneal clouding which starts approximately after 2 hours from death

Also after death, blood cells in the body breaks down and releases potassium at a slower and more predictable rate, is also unaffected by temperature in the eye.(2) Thus, examining the potassium level in the vitreous humour can also help to calculate an approximate time of death of the person but not the killer refer to corneal clouding I spoke off

Tears also can be used to identify a person especially kwenye DNA profiling
 

Naamini matokeo baada ya deep investigation, hizo rumors hua ni kawaida kwenye matukio yoyote, kwanza kama unavosema alitakiwa kusain hundi ya 1B ndio lakini yeye alikua afisa mikopo tu muidhinishaji wa pesa ni muhasibu mkuu, na bado alikua hajasaini hivo bado hayo ni maneno tu, tuvipe nafasi vyombo vya uchunguzi vitaweza kueleza ukweli wote, japo kwenye kufetch information even rumor inasaidia kwa kuplay kama primary source of information
 
Duh, inasikitisha sana! Sijui alikosea nini hadi kuuawa kinyama namna hiyo. Kwa kuwa sote tunakufa, wema na waovu, sidhani kama kuna kosa la kustahili kuuawa kikatili hivyo.
 
Kwa jinsi watani zangu wanavyopenda Rangi nyeupe suspicion namba One ni Mapenzi
 
Kwenye hii kesi kamata kamata itakuwa kubwa si ajabu hata wasiodhaniwa watakuwa sehemu ya watuhumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…