Loose ends Kifo cha Martha Towo

Ishu ya sumu imekuja baada ya figo kufeli na wataalam wa tiba za moto walithibitisha kwamba ule moto majeraha yake yasingeweza kumuua
Then ni simple sana, marehemu alikuwa shinyanga inamaana pia maadui na marafiki wengi walikuwa wa shinyanga. Walimchoma moto kwa nia ya kuficha ushaidi hivyo ni wazi kwa jeshi letu hili la polisi lilivyo imara katika kesi za upelelezi nakuhakikishia Mshana Jr watakamatwa nina imani sana na jeshi letu la polisi pamoja na mapungufu yao ila wako smart. Muda ni mwalimu mzuri.
 
Optography, or the idea that the eyes were able to record the last image that a person saw before death, was a widespread and popular “science” in the late 19th and early 20th centuries, albeit it has been debunked as a forensic method.

Sasa last image si itakuwa ma Dr wa hospital? Ndiyo maana nikauliza wanatumia technolojia gani ku retrieve data za kwenye macho? let say wanavuta image labda za week moja nyuma kutoka kwenye retina.
 
Huyu kuna kitu alikifanya kwa mwenzie huko Shinyanga sema alietendewa hakutaka kumuachia Mungu akaamua kufanya retaliation. Huenda ni kwa mwanaume wake au kwa co-workers wenzake.

Alipangiwa Revenge mission kabisa na inaonesha mtu aliyetekeleza hilo alikuwa anamjua kabisa na kashasoma mazingira ya kwao so akaamua kuwapanga wajuba.

Ukiangalia psychologically aspects mzee wake kumuita binti yake kuwa alikuwa mpambanaji has a lot to do na tabia zake. Wanawake wengi wapambanaji wana ile aptitude ya "Getting it regardless" na "Wacha iwe mbaya tu" which means in case I we kwenye maslahi atahakikisha anagrab benefits zote pekeyake na kama atashindwa basi ataharibu. Hii spirit iko kwa watoto wengi wa kichaga.
 
Nimesoma mahala, hii wanasema Boss wake alimwambia aandike cheque ya 1B.
Halafu aseme ilikosewa, ili hizo hela zisionekane bank. Inaonekana martha hakutaka kulitekeleza.

Akawa anamsumbua, akaomba ruhusu kwenda kwao Kibaha. Inasemekana, boss wake akampigia Baba mzazi wa Martha, akamwambia amwambie mtoto wake, aache kazi ndani ya masaa 24.

Katika yote hayo yaliyokuwa yanaendelea, Martha alikuwa akiwasiliana na Baba yake na mchumba wake.

Wakasema siku ya tukio, alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake, wa Shinyanga. Kuwa wanasafiri watapitia hapo Kibaha, wamsalimu mara moja. Alipotoka hakurudi tena.
Inavyosemakana boss anashikiliwa.
*Nimesoma sehemu tu, nikaileta kama ilivyo.
 
Mkuu kwenye issue hizi zenye public interest hawezi kufanya hivyo bali watakamatwa na kufunguliwa mashitaka ya mauaji then case inaendelea ,wangekuwa wamefanya uhalifu(ujambazi) basi wakikamatwa wanakula vyuma tu.
 
Mmh sasa hii kweli ndio inaweza pelekea mtu afanyiwe umafia wa namna hio? Sidhani there is more than that.

Something has to be so emotionally hurting for a sweet Revenge to occur. Unless uniambie walikuwa intimacy na huyo boss wake na ikatokea boss akajua kuwa soon anaenda kuolewa na mtu mwengine kama kawaida ya watoto wa kike na utapeli wao ndio boss aka plot hio mission ili akikataa amtimue kazini kama kumkomesha.
 
Nimeona hii kesi imeacha traces nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…