Loose ends Kifo cha Martha Towo

Kumbe mnajuana ndo maana unampondea
Au na wewe alikula zako nini?
 
Hii sio ya kuamini sana ni kama imetengenezwa kwa lengo maalum
 

Mmmh hii kitu ni fix
 
Hahaha ingekuwa enzi za Dkt Magufuli mgesingizia watu asiojulikana. Watanzania inabidi kuwakomesha maana akili zero. Sasa hivi mnaanza kumsakama Rais Dkt Samia na uzushi mara eti mfumuko wa bei, mara ufisadi
 
Hii nimejitoa sehemu maana Kuna Uzi kama 3 zinamwiongelea martha
Kuna hela huwa haziliwi bure...
Kuna hela za hao primitive sukumas wa huko kwenye Ukanda wa madini na kuna hela za wale wapare walima tangawizi kule juu milima ya mamba miamba. Mfano huko mamba miamba huwez kucheza na hela ya Me ukapona kirahisi tu. Matukio ya kuingizwa mathura kunako na kubakwa na kundi la wanaume wenye akili zao hadi ufe ni kawaida kabisa. Yani kukupoteza dakika sifuri na kesi zao wala hazifiki popote na wapo wanadunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…