Loose ends Kifo cha Martha Towo

Watu washamba
 
Unahangaika akati 10,000 unapata line kariakooo
 
W
ee Ushakutana na Professional Killers Tanzania hiii polisi hawatoboia
Wapo kibao,zamani Chaka lao lilikua sehemu Fulani Mandela road
 
Mbona hizi ni idea za kitoto
Utagundua vipi sehemu haina cctv, wakati zipo hiden cctv tena bei rahisi.
Maboda boda wengi ni wazee wa Kazi wengine ni wazugaji unaweza ukadondokea kwa muuza supu.

Huwezi muua mtu yeyeto tu usie na interest nae.

Huwa wanatrace mwanzo wa picha na sio mwisho wa picha,huyo mwenye mikwaruzano nae kazini au kwenye mapenzi
Ndie anaenda pasulliwa speaker yeye ndie atawataja aliowauzia kazi.
Radio mbao mmoja keshadakwa
 
Hii white magic ni nini ndugu?
Pana watu Wana high sense ya imagination ya tukio zima wanakuchorea na kukuonyesha muhusika wa tukio zima. Magreat see au waonaji wanao uwezo wa kumtambua muhusika wa tukio lolote.
Sio rahisi kumnasa Osama, albagdad kiongozi wa ISIS, Savimbi, nk wanatumia njia hii then unatumiwa drone yenye rocket unazikwa hai.
 

Attachments

  • Screenshot_20230313_155313.jpg
    108 KB · Views: 12
Wewe n mshamba line kariakooo 10,000 tuuuu
 
Bado network connection ya whatsapp inapita kwenye Mobile Service Providers wa nchi husika mkuu
 
Makosa yote yaliyofanywa na wauaji au muuaji ni mpango wa Mungu ili ajulikane au wajulikane. Wamefanya uzembe mkubwa kuteka kwa kutumia simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…