Yeah bt hyo ni 12th edition ila c mbaya so wauza ngap?umekionaeee...ndio nimekipiga photo ndani na nje..kipya kabisa
Mkuu UP ni kitabu kizuri but ningekushauri utafute nelkon & Parker six edition au kama utaweza tafuta 3rd edition vipo vizuri sana karibu kila topic, UP kama mdau mmoja hapo juu alivosema ni kizuri sana kwa mechanics alafu kina mambo mengi ambayo mengine hata hayawahusu advanceUpo wap bro?
Sio tu aliyesoma hizo shule....mtu yeyote aliyesoma physics ataweza msaidiaHivi wewe unaifahamu UP yenyewe au unaisikia. Hicho kitabu ni cha zamani sana na kinatumiwa sana na wanafunzi wa A level kusoma physics. Hiki sio kitabu cha kutumiwa na 'kil@z@'! Kukipata tafuta mtu aliyewahi kusoma Mzumbe, Iliboru, Kibaha au Tabora boys, Tabora girls na Kilakala...
Wewe umewahi kukiona? Acha tu kukisoma. Mimi mwenyewe nimesoma PCM shule ya vipanga lakini nilikuwa nakiona kwa mbaali... Wasongo ndio walikuwa wanakitumia zaidi.Sio tu aliyesoma hizo shule....mtu yeyote aliyesoma physics ataweza msaidia
Daah ntashukuru xna broMkuu ntakutazamia kwenye makarabrasha yangu, sina uhakika kama kilichukuliwa au lah, maana baada ya kumaliza niligawagawa madude yote, nikikipata ntakupa free bila ya senti.. Gharama yako ni nauli mpaka kigamboni au DIT kuja kukichukua.
Hivi wewe unaifahamu UP yenyewe au unaisikia. Hicho kitabu ni cha zamani sana na kinatumiwa sana na wanafunzi wa A level kusoma physics. Hiki sio kitabu cha kutumiwa na 'kil@z@'! Kukipata tafuta mtu aliyewahi kusoma Mzumbe, Iliboru, Kibaha au Tabora boys, Tabora girls na Kilakala...
Kwanini asinunue principle of physics by nelkon ?? Kama altenativeDogo, kitendo cha kugundua tu kwamba hapa Duniani kuna kitabu kinaitwa University Physics (UP) tayari kunanipa imani kwamba wewe ni kichwa...
Aaah, matatizo ya vijana wanaopenda ku complicate. Naona anatafuta tatu!Kwanini asinunue principle of physics by nelkon ?? Kama altenative
Nimesoma PGM (once) nimekiona, nimekitumia, nothing special...anyone aliyesoma phy anaweza kujua atapoeza pata!! Maktaba za shule au za mkoa kinakua kipo sana tuWewe umewahi kukiona? Acha tu kukisoma. Mimi mwenyewe nimesoma PCM shule ya vipanga lakini nilikuwa nakiona kwa mbaali... Wasongo ndio walikuwa wanakitumia zaidi.
Kupata 3 sio lazima usome UP. Me mwenyewe nilipata hiyo 3 na hicho kitabu nilikua sitaki hata kukiona... Vijana wanashindwa kuelewa ukifata yale syllabus inataka na ukayajua vizuri tayari unafaulu. Hiyo ndo siri yangu wala huwa sipendi kucomplicate.Aaah, matatizo ya vijana wanaopenda ku complicate. Naona anatafuta tatu!