Looking for University Physics book

Looking for University Physics book

Habari wana JF, kwa yeyote mwenye kitabu cha university physics 13th edition kilichoabdikwa na roger freedman na anahitaji kukiuza au anajua mahala panapouzwa hicho kitabu anijuze
Soft Copy vip itafaa pia ?
 
Habari wana JF, kwa yeyote mwenye kitabu cha university physics 13th edition kilichoabdikwa na roger freedman na anahitaji kukiuza au anajua mahala panapouzwa hicho kitabu anijuze
Mimi ninavyo vya university physics vya Rodger freedman na young volume 1(2000) na vinginevyo,kwani unataka hicho tu,ngoja nikacheki kwenye library yangu kila umejipanga kipesa vizuri?
 
Mimi Nina vitabu kibao vya university physics and math funguka mkuu . digitaly hii hard copy ya nini mzigo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom