mwamini sr
Member
- May 30, 2016
- 27
- 2
Habari wana JF, kwa yeyote mwenye kitabu cha university physics 13th edition kilichoabdikwa na roger freedman na anahitaji kukiuza au anajua mahala panapouzwa hicho kitabu anijuze
Mm nipo b/moyo ila nataraji kufka dar so kama kuna mtu yeyote yupo maeneo hayo itakuwa ni good sana. Na kama unacho brother just tell me how much you sellUna sh ngapi na uko wapi?
Mm nipo b/moyo ila nataraji kufka dar so kama kuna mtu yeyote yupo maeneo hayo itakuwa ni good sana. Na kama unacho brother just tell me how much you sell
thanks kaka nashukur kwa ushaur wako mzuriMimi sina, wewe ukifika Dar hiko kitabu huwezi kosa, nenda Posta au Kariakoo kuna maduka ya vitabu au ukiwakuta wale jamaa wanaoweka vitabu chini wanauza watakusaidia, ila inabidi bei elekezi uwe unaijua wasije kukupiga bei.
Mambo vp. Hichi kitabu umeshapata? Mimi ninacho. Nipo Dar Tabata Mwananchi.Habari wana JF, kwa yeyote mwenye kitabu cha university physics 13th edition kilichoabdikwa na roger freedman na anahitaji kukiuza au anajua mahala panapouzwa hicho kitabu anijuze
Hivi wewe unaifahamu UP yenyewe au unaisikia. Hicho kitabu ni cha zamani sana na kinatumiwa sana na wanafunzi wa A level kusoma physics. Hiki sio kitabu cha kutumiwa na 'kil@z@'! Kukipata tafuta mtu aliyewahi kusoma Mzumbe, Iliboru, Kibaha au Tabora boys, Tabora girls na Kilakala...Mimi sina, wewe ukifika Dar hiko kitabu huwezi kosa, nenda Posta au Kariakoo kuna maduka ya vitabu au ukiwakuta wale jamaa wanaoweka vitabu chini wanauza watakusaidia, ila inabidi bei elekezi uwe unaijua wasije kukupiga bei.
Dogo, kitendo cha kugundua tu kwamba hapa Duniani kuna kitabu kinaitwa University Physics (UP) tayari kunanipa imani kwamba wewe ni kichwa...Habari wana JF, kwa yeyote mwenye kitabu cha university physics 13th edition kilichoabdikwa na roger freedman na anahitaji kukiuza au anajua mahala panapouzwa hicho kitabu anijuze
Hivi wewe unaifahamu UP yenyewe au unaisikia. Hicho kitabu ni cha zamani sana na kinatumiwa sana na wanafunzi wa A level kusoma physics. Hiki sio kitabu cha kutumiwa na 'kil@z@'! Kukipata tafuta mtu aliyewahi kusoma Mzumbe, Iliboru, Kibaha au Tabora boys, Tabora girls na Kilakala...
Kama wewe ni mzee wa softcopy basi hiko kitabu unaweza ukakipata kwenye linki hapo chini.Habari wana JF, kwa yeyote mwenye kitabu cha university physics 13th edition kilichoabdikwa na roger freedman na anahitaji kukiuza au anajua mahala panapouzwa hicho kitabu anijuze
mkuu kama wapendelea soft copy tembelea website hizi kudownload vitabu bureHabari wana JF, kwa yeyote mwenye kitabu cha university physics 13th edition kilichoabdikwa na roger freedman na anahitaji kukiuza au anajua mahala panapouzwa hicho kitabu anijuze
Mm c mtumiaji saana wa soft copy coz ndo nataraji kuingia form five mwaka huu na hicho kitabu niliwahi kukiona nilipokuwa shuleni mzumbe secondary na nilikifatilia sana na nkakiona kinafaa mkuuKama wewe ni mzee wa softcopy basi hiko kitabu unaweza ukakipata kwenye linki hapo chini.
http://libgen.io/get/318C1507190566...sics 13th Edition -Addison-Wesley (2012).pdf
Ok wauza sh. Ngap ?Mambo vp. Hichi kitabu umeshapata? Mimi ninacho. Nipo Dar Tabata Mwananchi.
Ok wauza sh. Ngap ?
Nauza 75,000/=TZSOk wauza sh. Ngap ?
Hyo 75000 ni kipya?Nauza 75,000/=TZS
Upo wap bro?mimi ninacho kipya kabisa bro...sema utanipa ngapi..ata ukitaka roger and mancaster kipo au nelkon