Looking for Tanzanian living in or close to providence, Rhode Island

Pius Mbwilo

New Member
Oct 6, 2008
1
0
Nawasalimu wanamichakato, tafadhali kama kuna watanzania wanaoishi Providence, Rhode Island ningefurahi kufahamu kwani mimi naishi katika hii city.

Nawatakia Pilika njema za wiki,

I will be back,

Mbwilo
 
Nawasalimu wanamichakato, tafadhali kama kuna watanzania wanaoishi Providence, Rhode Island ningefurahi kufahamu kwani mimi naishi katika hii city.

Nawatakia Pilika njema za wiki,

I will be back,

Mbwilo

Kuna Taarifa kwamba kuna Watanzania karibu 15 wapo USA kwenye miji ya Tacoma-Seattle,Phoenix,Urbana Champaign na Wichita kwa ajili ya mafunzo mbalimbali.Bwana Mbwilo jitambulishe kama nawe ni Mmojawapo...Watu hao wamekuja kwa udhamini wa Serikali ya US na kwa maelezo ya US Embassy Dar ni kwamba watakuwepo US kwa miezi 9-15.

Hata Hivyo karibu sana kijiweni!!!
 
Back
Top Bottom