We unapenda za aje hutaogopaa
zile huwa mnabusu hewa...halafu lipsi imepakwa ile rangi nyekundu kama nyama ya pera...
Mmmmh...
kuna mtu anawindwa humu.Am christinah by name nipo mwanza
Wewe mbona mmbea hivyo jamani hahaha, naona hadi umejimention na wewe mwenyewe, bado tu kujiquote na kujichamba tena mweee
Am christinah by name nipo mwanza
Mwanza mojaa yoloooooooooii
wiki ijayo nakuja huko unipokee nitakuwa nyegeZI mwanza
Ngoja nikalale, nishatishika....
Heeee mi sipokeag wageni
basi utakuwa mwenyeji wangu
kili mbona hujaweka full picture
Huyo christinah
Kawaida tu mamy bt naona wanasema nimekosea kuweka pic cjui hairuhusiwi