Eti anakuja nyegeZi
heheh mgonjwa huwa hachagui tiba bana....:becky:
sindano zangu huwa haziumi kabisa....
Utafikiria mi nipo nyegezi muda wotee
Unaguna nini sasa?
Hamna shem
Yani weweeeee??!?!
Nimefanyaje?
Endelea kutunza ngozi yako, naamini umeshapata marafiki wa kutosha sasa
Haaaa haaaaa haaaaaa haaaaa haaaaa haaaaa haaaaa haaaaa haaaa haaaa ah
Am christinah by name nipo mwanza
Am christinah by name nipo mwanza
kwa iyo wewe kaka ukaona utafte jina la kike la mdogo wako na picha ili uone tutasemaje? i remember comedian kansiime
haya naona kakosea alifikiri huku ni fbmkuu mbona unampeperushia marafiki binti wa watu???
christinah shavu dodo aiseee haya marafiki mkuje huku
Kwani we manka utaki marafik mpaka umpigie debe mwenzio
Mimi sio mtu wa kuchat si nikiwa na marafiki ntawakera tu