utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
Ngoja nikalale, nishatishika....[/QUOTE
Haya mamy
Mweehh???? Sio mamy huyo aaah.....
Ngoja nikalale, nishatishika....[/QUOTE
Haya mamy
Mweehh???? Sio mamy huyo aaah.....
nahisi tumevamiwa humu.
Tupia basi na kapicha kako kamoja..
mbona wavunjika mbavu jamani?
kuna majaji humu nawaogopa aisee
Jameni mpaka JF tushaanza kuuza sura? FB, whatsapp Instagram nk kila siku watu kibao wanalike mapicha hata ya ajali na kuomba urafiki. Enzi zetu tulikuwa na madisco ya shule/vyuo, ktk daladala nk. Nakutakia mafanikio dada
Am studying
Hongera kwa kupenda ngozi yakoo hujaipiga dekiii
Muombe basi dada atupiemo na pale kati tuoneeee Heaven on Earth kuna rafiki huku anatafuta rafikii ukuje
dada kakosea kuweka picha hahaaaaaa