Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
wiki ijayo nakuja huko unipokee nitakuwa nyegeZI mwanza
aibu naona mimi yaaani
wiki ijayo nakuja huko unipokee nitakuwa nyegeZI mwanza
Humu ndio jamiii karibu sanaaaa,,,,huyo katania tu weka picha zako hata zoteee inaruhusiwaaa
wewe unachoogopa nini ??
Ahsante mamii nshakaribia😉
Kawaida tu mamy bt naona wanasema nimekosea kuweka pic cjui hairuhusiwi
inaruhusiwa weka full picha bwana niku add uwe rafiki yangu au unataka wa kiume tu
Cbagui jinsia tena ntafurahi ukiwa best angu
karibu .....................
Hhhhaa huogopi rangi ya damu weyeeee
Am christinah by name nipo mwanza
mimi naitwa Mamba na makazi yangu ni Mtoni....
Namaanisha Mtoni kwa Aziz Ally...
Unataka mafrenz wa aina gani?
mimi naitwa Mamba na makazi yangu ni Mtoni....
Namaanisha Mtoni kwa Aziz Ally...
hahah niogopee wapi...kama mpakaji haogopi basi hata siye wengine haiwezi tudhuru...
Wa kubadilishana Mawazo ti
Sasa christinah hajapaka loo,ngoja nimwambie arushe picha ikiwa kapaka thawaa
mawazo yako umeyachoka bi mkubwa hadi ubadilishane na mtu mwingine?
Sasa christinah hajapaka loo,ngoja nimwambie arushe picha ikiwa kapaka thawaa
mawazo yako umeyachoka bi mkubwa hadi ubadilishane na mtu mwingine?