Looking for female friends tu only !!

Nime-soma posts zako lakini naona kama kuna zaidi ya normal friendship! isije kuwa unataka kuwa*ag* watoto wetu!
 
Tatizo la marafiki wa kike ni umbea..unafki na wivu usio na maana!Hopefully utapata wazuri hapa JF...my dearest being one of them!
 
Hii angetamka CPU hadi seva la JF lingepasuka jinsi atakavyotandikwa na keyboard plus keypad
 
Nime-soma posts zako lakini naona kama kuna zaidi ya normal friendship! isije kuwa unataka kuwa*ag* watoto wetu!

hahhaa imebidi nicheke...mijitu yenye akili potofu utaijua tu...sasa post ipi inaonyesha mie msagaji hapo?kama si kunitafuta ugomvi..
mie straight female wewe eboo
 
Mbona vidume mnamshambulia sana sweetdada? Kwa mwendo huu wengine tutaogopa kuomba urafiki.
 
Duuu urafiki mwingine wa mashaka,alafu mbona kaposti kwenye jukwaa la mapenzi ni kwa nini??lazima wanaume tupate maswali ya ziada...ila zaidi utawapata wapo wengi tu humu.....
 
Hili ni jukwaa Mahusiano..Mapenzi na URAFIKI!
 
Back
Top Bottom