Looking for a WEB DESIGNER | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Looking for a WEB DESIGNER

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mambo Jambo, Oct 4, 2011.

 1. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Looking for a webdesigner,
  Not just a web designer but a good one, kama vipi nitumie PM tufanye mchakato
   
 2. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  namjua jamaa wanafanya kazi nzuri sana...m2k graffix try to call him 0712254966; then talk a reasonable deal...
   
 3. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Asante kaka, nimecheck website yao.
   
 4. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  alryt...wana price nzuri pia ukijaribu kumpigia mtaongea fresh...wishing u luck
   
 5. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wakuu ina maana hakuna wataalamu wa kiwango cha juu katika web designing hapa jukwaani...

  Nahitaji mmoja nimpatie project, please nitumie PM.
   
 6. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Hapa naona unavunja sheria za JF kwa kuwa PM huwa ni siri, je huyo jamaa uliye mPM anataarifa kuwa unamvua nguo hapa?
   
 7. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mpigie huyu jamaa mwenye namba 0784638491 mwambie shida yako atkufanyia kazi nzuri kwani hayuko after money isipokua ubora
   
 8. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Mkuu usiangaike kwa kutafuta web designer, wasiliana na Jamii Media Inc, support@jamiiforums.com, ni mabingwa! pia kwa kuwapa kazi utakuwa umechangia JF.
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu samahani unaweza kujibu hivi vimaswali hapa hapa au kwa pm ili nipime ama naweza kufanyakazi hii kama freelance

  NB.
  Sio muhimu kujibu yeyote lakini the more details the more mahitaji yako requirement zako zitakuwa specified.

  1. Kwa sasa unayo website/blog yeyote?
  2. Elezea vitu au huduma unayotaka kuelezea kwenye tovuti yako. yaanii Dhumuni Kuu la bishara au huduma zako
  3. Washindani wakubwa wa huduma au biashara yako ni kina nani taja wawili? Wadau wakubwa watarajiwa kuwa kina nani?
  4. Uelewa wao wa mambo ya komyuta na tovuti Ukoje?
  5. Ni kitu au vitu gani hutaki viwepo kwenye website yako?
  6. Ni kitu au vitu gani ambacho unadhani ni cha muhimu kuwepo kwenye tovuti yako?
  7. Kuna tovuti ulizowai kuona unazopenda muonekano wake ? Zitaje kama tatu
  8. Watumiaji wa Tovuti wanategemea kuwa kina nani?
  9. Una upendeleo wa rangi Fulani zianazhusiana na biashara au bidhaa zako? Zitaje
  10. Una budget maaluma kwa ajili ya kutegeza tovuti hii
  11. Una deadline ambapo ni muhimu Tovuti hii iwe imekamilika
  12. Je unatagema tovuti yako itahitaji kutangza taarira/ bidhaa mpya mara kwa mara kila siku/kila wiki kila mwezi
  13. Unayo Logo kama unayo je iko katika mfumo wa digital?
  14. Unayo domain name eg (xyz.go.tz) na Host eg x10hoting.com or hostgatr.com
  15. Utapenda matumzi ya picha katika tovuti. Je unazo picha ambazo ungependa zionekane
   
 10. Erick_Otieno

  Erick_Otieno JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 180
  Biashara matangazo....huyo jamaa wa 0784638491 mwambie atume profile yake hapa jamvini i;i auze hiyo biashara yake....
   
 11. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Simple and Clear Requirements gathering .Yeye tu Aji ume-ume.
  Safi Sana

  Mbona hajatoa Feedbak kama ameshapata hiyo Service from JF
   
 12. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  PMed Mkuu.
   
 13. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kesha jibiwa kwa PM,

  Na wewe ni designer?, tuma PM
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hiyo PM Naona kuna foleni mbezi haijafika bado
   
 15. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Nadhani itakuwa imefika sasa.
   
 16. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Bado hijafika kama vipi weka majibu hapa yatawasaida wadau wengine na wewe kupata uwanja mpana wa kuchagua Suluisho bora
   
 17. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mkuu mtazamaji tuweke ustaarabu mbele, nimejibu maswali yako yote kwenye PM na wewe ukajibu PM yangu.

  Tafadhari usitake kuniharibia status yangu jukwaani.

  Mods naombeni mfuatilie hii kitu na sheria ichukue mkondo wake.
   
 18. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #18
  Oct 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Duh Aiseee ngoja niwaulize mod labda PM zinazletwa wangu zimekuwa diverted . Sijapata ujumbe PM kutoka kwako mkuu.

  Samahani kwa usumbufu sina haja ya kukusumbua mkuu. ebu cheki na mod na mimi nachei na mod .

  Labda PM yangu imetekwa na kama ni kweli umetuma na mimi nitaomba maelezo nini kimetokea na aliyejibu ni nani hasa huyo?
   
 19. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu nadhani hii issue tafuta ustarabu mwingine . Ila fuatilia ukweli kwa mod Anayekujibu hizo pm ni nani. hasa. Umenishtua na nimeshtuka sana kwa kweli.
   
 20. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Acha kujichoresha..watu wako serious wewe unakuja kupindua thread za watu, anzisha yako kama vipi,
   
Loading...