Looking for a WEB DESIGNER

Acha kujichoresha..watu wako serious wewe unakuja kupindua thread za watu, anzisha yako kama vipi,

Powa Mkuu ngoja mi nitulie illa nimewauliza mod maana mi najua sijapokea PM ya mambo jambo. Anyway tushie hapo we endelea naye huyo. Lisije jina la mtazamaji likatumika kisanii
 
Acha kujichoresha..watu wako serious wewe unakuja kupindua thread za watu, anzisha yako kama vipi,

Mkuu huyo njemba ndiyo zake, pandikizi mia mia, kuna jamaa nawajua wanafanya maswala ya web designing nakupiga PM ya contact zao, na humu mkekani wapo wakumwaga we sikilizia tu, ignore hiyo off off.
 
Mkuu mtazamaji tuweke ustaarabu mbele, nimejibu maswali yako yote kwenye PM na wewe ukajibu PM yangu.

Tafadhari usitake kuniharibia status yangu jukwaani.

Mods naombeni mfuatilie hii kitu na sheria ichukue mkondo wake.

Nimefuatilia kwa mod wamesema Mambo jambo hajatuma PM kwa mtazamaji Ila mammbo jambo kawasiliana na kujibiwa na watu wengine na kupewa maelekezo.

Sasa waelezee wadau wewe moderator wamekuambiaje na kwa mising hiyo nani anataka kuharibu status ya mwenzake jukwaani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom