Long term ya neno hp.

Long term ya neno hp.

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
wakuu kuna aina nyingi za za laptop Dell,Toshiba, hp, Acer na nyinginezo ila naomba kujua long term ya hp ni nini hasa?
 
Hawlet na Parcad ni majina ya watu walioanzisha hyo kampuni

true, ina maana hujawai kuona desktop na laptop za miaka hiyo zina nembo ya packard bell? ni sawa na kusema dell ni jina la mtu, lakini dell ni jina la kampuni
 
pia uwe unatumia njia rahisi kupata majibu kama vile kutumia search engines na wikipedia

Nooo noooh tuanakata Jf hiwe kubwa kama hiyo wikipedia yako, na wakuikuza ni sisi members, kwhiyo sio mbaya mtu akiuliza hata swali dogo kama hilo humu, kumbuka sahivi mpaka umepanda cheo kwa kuitwa JF Senior Expert Member I bet your proud of that title C6 ila ushiriki wako katika mijadala midogo ka hii inakuza seniority yako mkuu.
 
true, ina maana hujawai kuona desktop na laptop za miaka hiyo zina nembo ya packard bell? ni sawa na kusema dell ni jina la mtu, lakini dell ni jina la kampuni

Wazee wa business tunaita artificial person ikitoka ndani ya Personal A/C
 
mi ningeomba kufahamu, mtu anaposema nimeenda polisi kuchukua RB, RB kirefu chake nini?
 
Back
Top Bottom