Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
Wanaume wa Dar wamemuacha kweli??
Aaaaaaa [emoji23] hapoo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mm hoi et...... Nn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu huo mwandiko haujakaa kama mtu aliyemaliza chuo, na tena anayefanya kazi shirika la kimataifa.
BTW, huyo demu wako tayari watu wanahudumia, usijisumbue kumsubiri.
hahahaaaaaaaUzuri wa long distance love kama wote mnapendana siku mkionana mnakuwa peponi.
kikubwa kuaminiana na kutokuwa na wivu wa kijinga kila kinakuwa atleast sawaSikuvunji moyo, ila long distance relationships Mara nyingi hazidumu kabisa. .
Unaweza ukajinyima kwa ajili ya mwenzio, Una uhakika gani mwenzio anafanya Kama ufanyavyo wewe?
Ukipata muda kaa chini ongea na mwenzio muone ni wapi uhusiano wenu unaelekea (face to face tafadhali), wewe mtu mzima jibu utalipata
Mwenzio mshika,dini na mkarimu kumbe unajiogopa wewe mwenyewe?Nipo kigoma na ,mpenzi yuko DAR , kusema kweli namkubali huyu mtoto toka tuko chuoni kwa tabia zake tu. Ni msuichana mpole mkarimu na mshika dini sana. Nilimuacha chuo na nilipomaliza tu nikapata kazi kigoma. Sasa mtihani unakuja baada ya kufika kazini, nina miaka miwili tangu nimeanza kazi nikiwa mbali na ,mpenzi. Nakaza moyo sana tena ukizingatia nina kanafasi kidogo ndoo daaah usiseme. Nimekua napokea wafanya kazi wapya na wanaokuja kutoka serikalini kutusaidia kwa muda then wanaondoka. Kumbuka nafanya shirika ka kimataifa.
napata wakat mgumu sana natamani kuwa na mwenza karibu lkn maisha y kazi ndo kama hivyo nifanyeje sasa lkn navumilia mitihani mingi sana kazini.
Umenichekesha wewe[emoji1] [emoji1]
Kama kwel uyo mpnz wako ni ametulia, anaelewa anachofanya kat yenu ni kitu gan... Bs shaka ondoa mkuu, aina hii ya mapenz uwa ni tam sana na inajenga heshima ya penz baina ya wenza, so you just move on....Nipo kigoma na ,mpenzi yuko DAR , kusema kweli namkubali huyu mtoto toka tuko chuoni kwa tabia zake tu. Ni msuichana mpole mkarimu na mshika dini sana. Nilimuacha chuo na nilipomaliza tu nikapata kazi kigoma. Sasa mtihani unakuja baada ya kufika kazini, nina miaka miwili tangu nimeanza kazi nikiwa mbali na ,mpenzi. Nakaza moyo sana tena ukizingatia nina kanafasi kidogo ndoo daaah usiseme. Nimekua napokea wafanya kazi wapya na wanaokuja kutoka serikalini kutusaidia kwa muda then wanaondoka. Kumbuka nafanya shirika ka kimataifa.
napata wakat mgumu sana natamani kuwa na mwenza karibu lkn maisha y kazi ndo kama hivyo nifanyeje sasa lkn navumilia mitihani mingi sana kazini.
wengi huishia hapa, mi nilikuwa na mpenzi ana adabu zote baada ya kukaa long distance miezi mitano tu akabadilika totally na hapo tulikuwa still tunawasiliana hebu fikiria.Hapa arusha kuna mdada katulia sana hana sura ya kuvutia lakini alivotulia alifaa kuwa mke. Akoolewa na jamaa moja jina naweka kapuni, wakazaa mtt moja. Jamaa yeye ni mwajiriwa serikalini, baadae alipoona mkewe ni mtulivu akaamua amsomeshe. Yule dada kichwa kizuri katulia form 4 alipiga div 2. Sikumbuki form 6 alifauluje ila alifaulu vizuri. Na sasa yuko chuo kikuu arusha mwaka wa pili. Hapo alianza kupoteza uaminifu akaanza uhusiano na mtu moja aliekuwa anamfundisha, akanasa mimba. Wakashauriana na huyo mtu wake kuwa ajifanye anaumwa afu amwite mume, wafanye mapenz afu baadae amjulishe kuwa kanasa. Hiyo trik ilifanya vizuri ila mume aliomba waitoe mimba, wakaitoa kwa siri. Miezi ikapita, yule hawara ndo akamganda zaidi ikanasa mimba ya pili, wakatumia ujanja uleule wa kumwita mume. Baada wiki 3,4 mume kajulishwa mimba tena, mume akaamua sasa alee tu mimba ajifungue afu baadae arudi chuo. Mtt alipozaliwa ni copy na hawara kabisa. Mbaya zaidi huyo hawara anafahamiana na mume. Na mume kapata vitetesi kuwa mtt ni wa rafikie. Na mke wa hawara anaijua ishu nzima..... Wako kwenye mgogoro kwa sasa...... Mpenzi alieko mbali si wako na hakuna binadamu mwaminifu duniani...
Siku zote mwanamke adui yake mkubwa ni upweke, hawezi kaa peke yake kwa mda mrefu ni lazima atamtafuta atakaemliwaza, tena anataka anaeishi karibu naewengi huishia hapa, mi nilikuwa na mpenzi ana adabu zote baada ya kukaa long distance miezi mitano tu akabadilika totally na hapo tulikuwa still tunawasiliana hebu fikiria.
Ni changamoto sana, laiti kungekuwa na reset factory settings za wanawake zetu tungekuwa tuna wa restore kila wakianza ujinga!Siku zote mwanamke adui yake mkubwa ni upweke, hawezi kaa peke yake kwa mda mrefu ni lazima atamtafuta atakaemliwaza, tena anataka anaeishi karibu nae
Bro ikumbukwe hata Madra za kiislamu zinaitwa Chuo. Inawezekana ni Mwalimu wa madrasa kwenye msikiti wa warabu!!!Mkuu huo mwandiko haujakaa kama mtu aliyemaliza chuo, na tena anayefanya kazi shirika la kimataifa.
BTW, huyo demu wako tayari watu wanahudumia, usijisumbue kumsubiri.
Wow. Mungu azidi kuwaongozaIla umbali usiwe mkubwa sana hata ikiwa mbali ilimradi ziwepo means za kumfikia mwenzio si zaidi ya masaa 6 kwa aina ya usafiri wowote mtakao umudu mnapotembeleana. Mkiwa mbali kidogo na mkaishi kwa kuheshimiana hakuna anaemchoka mwenzie. Mi familia yangu inaishi dar wakati mi ni kiishi mkoa wa tatu kutoka far, huwa namudu kuwa na mke wangu siku za wikendi tu au kila banda ya wiki 2 kama sio likizo. Nina miaka 12 katika ndoa hatujawahi kuwa na ugomvi mkubwa wa kuhatarisha ndoa yet, yaani kila tunapokutana unaona kila mtu ana hamu na mwenzake . Kuna rafiki yangu mmoja walikuwa na mahusismo mazuri na mkewe wakati wakiishi mikoa tofauti ila ndoa iliamza kuota magugu baada ya wote kuhamia dar ili kuwa karibu. Tatizo linakuja pale nimalizapo likizo na kutakiwa kurejea kazini hujikuta na kibarua kizito kumnyamazisha bibie ambae hushindwa kujizuia kulia wakati akinisindikiza.