MANGAMANGA21
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 229
- 232
Mtoto ndio mwisho wa matatizo.Ni ngumu kukuta wote mnaaminiana na linapotokea swala la mtoto ni ngumu zaidi
All in all kumtanguliza Mungu muhimu... Maana tamaa za mwili kiboko...
Mtoto ndio mwisho wa matatizo.Ni ngumu kukuta wote mnaaminiana na linapotokea swala la mtoto ni ngumu zaidi
Mradi ujumbe unasomeka siko kwenye mashindano ya uandishi.
sio vizuri kuleta wimbo kama huu wengine hatujala mchana mambo mengi afu unakutana na hii kitu???? Not fair bana
Anyway.... nice song thanx