Loneliness

Asante sana. Point noted .
I have picked some sense from your comment .
Thank you
Ni yeye mwenyewe anavyoona kulingana na muda wake....

Ukishakua mtu mzima akuna mtu anaekusukuma wala kukutuma ila majukumu, ndoto na malengo yanakuautomize.....!

Mihimu ni ratiba tu. Kuweka muda wa kurelax na kujichanganya na wadau si mbaya!
 
Reactions: Oxx
This point is very crucial, and have noted much of this experience. Cool boys are always boring and are not liked by girls.
Girls like charming and funny guys .
The world is just not fair
Tatizo la dunia ya sikuiz Good boys are not fun, lakin Bad boys ndio wako fun...and kama ulonely wako unataka mwanamke Dunia imekengeuka women hata wale walokole wanapendaga badboys because they are fun to be with.....
 
Pole Mungu akujalie upate kampani ya maisha
 
Pole aisee watu wanasemaga tu
Upweke unaua yani unaeza jihisi hupendw bt unatakiwa utafute rafk au uwe na mpnz maisha ya peke ako ni magumu hasa ukitoka kazini kwa ss tunaoish peke etu ni hatar unataman likizo isiishe
Bt penda kujichanganya na watu itakusaidia saana i dd that too at least usku napenda utulivu so mchana nakua na watu kabla cjaingia kwenye kiita changu kujfungia
 
Ushauri mzuri sana.
Mungu akubariki
 
Mi binafsi ninapokuwa lonely nafungulia radio sauti ya juu sana na mara nyingi huwa napenda kusikiliza bongo flavour ya zamani kama mda huu nilipo sasa na reggae au naangalia muv za kutisha sana na nishazoea maisha haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…