Londonistan haiepukiki

Wanakimbia kwao wanaenda kuharibu nchi za wengine
Uislamu umekuwa baraka na tishio kwa Ulaya, na jukumu lake katika Ulaya ni gumu:


  • Ushawishi wa kitamaduni
    Uislam umejenga utamaduni wa Ulaya kwa njia nyingi, ikiwa ni pamoja na usanifu, sanaa, na kilimo. Kwa mfano, sinagogi la Türkischer Tempel huko Vienna liliathiriwa na usanifu wa Kiislamu.
 
Hahaha, ikawaje?

Naufahamu sana msikiti huo, nyumba ilikuwa ya Bi Aziza, wakrosyto wakavamia, wakajidi kuununuwa kwa matapeli. Bado ni msikiti mpaka leo.

Tena umenikumbusha kuna misikiti yetu Wajerumani waliigeuza makanisa hapo jijini Dar. Ni wakati muafaka irudishewe, sijuwi haya ma bwakwata yanafanya nni?
 
Wangejua huo upumbavu wanao Fanya wa kuruhusu Alakbaru huko aisee watajuta sana mwshon ,watakapokua kama somalia ,Sudan ,Iraq, wavaa kobasi watakapokua wanajilipua hadharan ,laiti mijii hii wangekua itabak ukiwa kina walau Akbaru watakapo Anza kujitoa muhanga
 
Yote ni kwa kuwa wazungu ni watu wema na wenye Roho safi sana
Waliwakaribisha magaidi bila kujali mapito yao wakawapa makazi na huduma na ndiyo maana leo hii magaidi wanajinafasi

ila Sasa piga ishara ya msalaba Kuwait au Oman ndo utajua hujui
 
Hii ndio itafanya Trump achaguliwe tena Marekani,
Uhamiaji holela,
Kuna Nchi uhamiaji unawasumbua kama Sweden huko ambao wame chukua wahamiaji holela ambao contribution kwa taifa ni ndogo ila London ama Uingereza kwa Ujumla bila waarabu/Wahindi wangeshapoteza relevance kwenye hii dunia. Leo hii toka wamejitoa EU ni Nchi za kiarabu ndio zina maintain huo uchumi.

London nickname yake ni 8th Emirate, kuna Mamia ya Bilioni investments za Gulf kuanzia Real estate, Energy, Bandari na sekta kibao.
 
London ni financial centre of the world tangu karne ya 18, kila tajiri duniani anataka kupeleka pesa zake London, kuanzia Warusi, Wachina, Waarabu hadi mafisadi wa Africa
 
Hapa kinachozungumziwa sio uarabu/waarabu, tunazungumzia uislam/waislam. Jaribu kufikiria unawafurusha vipi waislam ambao ni waingereza ?
WaIberia walisilimishwa na Majeshi ya Kiarabu kwa nguvu lakini Uisilamu ulikuja kutolewa na Waarabukufurushwa na kukimbila Moroco.
 
Je sifa za mpinga Kristo anazo nani? According to Biblia?

Daniel 11:37-38

Hio ni sifa ya waisilamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…