MWANA WA UFALME
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 578
- 144
waingereza wana ka-ingredient ka Hooliganism, opportunity ikitokea basi wataonyesha their true colours..... (nadhani hapa wengine wanasingizia kisa cha yule jamaa kuuliwa lakini wameamua kutoa stress zao kwenye majengo na magari)
This is definately news to me... i am so out of touch... Ni nini hasa mpka ikawa hivo??
Mkuu binadamu wana culture tofauti (take Japan for instance.., hata baada ya ile Tsunami watu walikuwa calm na watulivu) sasa hii issue ukiangalia waingereza ni watu wa fujo (Hooligans) wewe angalia tu baada ya Games za mpira au wakipata opportunity kwahiyo naweza kusema ni kama kipele kimepata mkunaji..., yaani hawa jamaa wakipata opportunity na wasiposimwa haraka na kama mob ikiwepo basi ujue kuna shughuli inakuja hata timu yao ya mpira ikifungwa lazima police wawe alertmkuu hii tabia ni ya binadamu wote,hata wakaguru na wakwere siku wanapochoka kuvumilia shida wanaweza kufanya mambo zaidi ya haya.
Earlier in the day members of a community where a young man was shot dead by police had took to the streets to demand "justice".
The 29-year-old, named locally as father-of-four Mark Duggan, died at the scene in Tottenham, north London, on Thursday. About 120 people marched from the local Broadwater Farm area to Tottenham Police Station, forcing officers to close the High Road and put traffic diversions in place.
A Metropolitan Police spokesman said: "Missiles were thrown at them. One was set alight and one was pushed into the middle of the High Road."
This is definately news to me... i am so out of touch... Ni nini hasa mpka ikawa hivo??
Polis wamefanikiwa KUUA RAIA????
Chanzo ndio hicho kuna mtu alipigwa risasi nadhani juzi na polisi akafa sasa ndugu zake na jamaa wakaandaa maandamano kwenda kituo cha polisi (as protest) sasa hapo ndio na watu wengine waka-take advantage wenye kuvamia maduka, wenye kuchoma moto magari na nyumba yaani all hell broke loose (lakini chanzo au sababu ni huyo jamaa kupigwa risasi)Polis wamefanikiwa KUUA RAIA????
Mkuu binadamu wana culture tofauti (take Japan for instance.., hata baada ya ile Tsunami watu walikuwa calm na watulivu) sasa hii issue ukiangalia waingereza ni watu wa fujo (Hooligans) wewe angalia tu baada ya Games za mpira au wakipata opportunity kwahiyo naweza kusema ni kama kipele kimepata mkunaji..., yaani hawa jamaa wakipata opportunity na wasiposimwa haraka na kama mob ikiwepo basi ujue kuna shughuli inakuja hata timu yao ya mpira ikifungwa lazima police wawe alert
Tena kuna racial tensions kubwa sana ambazo zisipotafutiwa dawa huenda zikawa time bomb (wapakistan na watu weupe; weusi na wapakistan n.k.) sababu hata kuna kipindi ilitokea fujo kati ya wapakistan na watu weusi (Birmingham) lakini police walimove fast. Sasa hii ukichanganya na maisha magumu na kazi kuwa chache inafanya wazawa waanze na kuwachukia wageni (In short sioni future yoyote nzuri kwa England) The Great Britain is not Great any more
Wanadai kuna jamaa alipigwa risasi na polisi na kufa. Lakini inavyoonekana ni more that. Maana inasemekana inasambaa miji mingine kama Birmingham. BBC News - Disorder breaks out in Birmingham
Dah hii ni hatari, kisa Police wamewapiga risasi jamaa, kweli wenzentu hawana utani!