Wooow! Kibelloh ana matatizo mangi juu ya ku-deal na wananchi on personal level, na hasa wananchi mlioko nje na kwa sababu mbali mbali ambazo ni nusu ni makosa ya wananchi na nusu yake ni makosa yake, hilo simtetei isipokuwa hayaingilkiani na kazi yake tuliyomtuma yaani taifa,
maana hata kabla hajaondoka London, ndio kwanza amewashawizshi wazungu huko London kuupatia mkoa mmoja bongo vifaa vya shule vyenye thamnani ya karibu paundi 40,000, kwa nini asiviibe vifaa hivyo? Nani bongo angejua kuwa alipewa?
Je afukuzwe kazi kwa sababu ana wivu fulani? kuhusu huyo Ally, mimi simfahamu lakini kwa maneno yako mwenyewe ninayaona majibu, kwanza ubalozi wetu nje hauruhusiwi kuajiri mtanzania aliyoko nje kuwa accountant, maa-accountant hutoka bongo kama maofisa, kwa hiyo kumuajiri part time ilikuwa pia ni makosa, hata kama ni ndgu ya makamu wa rais,
picha tumesikia mara za ofisini na sasa tena ni za nyumbani, hebu nyie watu wa London please make up your mind ameiba picha za ofisini au nyumbani?