LONDON 2012 SUMMER OLYMPIC GAMEs

LONDON 2012 SUMMER OLYMPIC GAMEs

hivi ni macho yangu au.....naona upepo wa waKenya na waEthiopia unavuma vibaya safari hii.....

Wakenya hawaonekani kujituma sana kwenye Olympics kama wafanyavyo kwenye mashindano mengine yenye malipo mfano Golden League. Kuna Mkenya mmoja aliwahi kunambia baadhi yao hupewa motisha na mataifa yanayokamia medali ili wakimbie kama pacemakers na hulipwa kwa masharti kwamba asichukue gold medal.
 
Kumbe huko nako michezo hiyo inafanyika??
 
hivi ni macho yangu au.....naona upepo wa waKenya na waEthiopia unavuma vibaya safari hii.....

Ukweli ni kuwa hawa tunao waita wazungu wanatabia ya kujiuliza...wamefanyia kazi kile kilicho kuwa kikiwafanya wanariadha wa Kenya na Ethiopia kutawala mbio ndefu...ukitazama wengi wao kipindi cha maandalizi walikwenda Kenya na Ethiopia kuweka kambi...Ukitazama mwanariadha kama Mohamed Farah pamoja na kuwa kambi yake ya kudumu ilikuwa Marekani lakini kwa nyakati tofauti aliweka kambi ya muda katika nchi mbili hizi.
 
What a win by Jamaicans in 200m final. Wamezoa medali zote tatu!!

1. Usain Bolt 19.32
2. Yohan Blake 19.44
3. Warren Weir 19:84
 
usain bolt ameshinda mita 200 rekodi mpya ametumia sekunde 19.32.
Mkuu sio rekodi mpya ya muda kwani 2008 alitumia 19.19, pia Blake alishawai kutumia 19.26 na Johnson 1996 alitumia 19.32. Ni rekodi mpya kimantiki kwamba ni mtu wa kwanza kupata medali za dhahabu kwenye mbio za 100m na 200m kwenye mashindano yanayofuatana ya olimpiki
 
Rudisha na rekodi yake je? Huyo kanifurahisha zaidi

article-2186205-14775521000005DC-519_634x391.jpg

What's the time? Rudisha points to the clock after beating his own 800m world record
 
Rudisha romps to 800m gold and sets first new track world record of London Games
article-2186205-14775749000005DC-15_634x392.jpg

Flying the flag: Rudisha is a national hero back home in Kenya
 
mpaka sasa brazil U23 kashalala mbili bila toka kwa wa Mexico U23
 
What a Mo-ment??!! Gold medal for Mo Farah in 5,000m final in 13 minutes 41.66 seconds...!!
 
The Jamaican quartet has smashed the world 4x100 record. Incredible.

36.82.....amazing.

Now who can deny Usain Bolt's legend status?
 
Back
Top Bottom