LONDON 2012 SUMMER OLYMPIC GAMEs

LONDON 2012 SUMMER OLYMPIC GAMEs

The Jamaican quartet has smashed the world 4x100 record. Incredible.

36.82.....amazing.

Now who can deny Usain Bolt's legend status?

36.84 NN...Amazing win with WR!!

Kikosi cha Jamaica kilikuwa kimetulia..Me love Jamaicans sanaaaa!!
1. Yohan Blake ''The Beast''
2. Usain Bolt ''Lightning Bolt''
3. Nesta Carter
4. Michael Frater
 
Update

Mbio ndefu za Marathon leo zinafanyika nchini Uingereza huku Tanzania ikiwakilishwa na wakimbiaji wawili pekee Samson Ramadhan na Mohamed Msandeki kwa mara ya kwanza katika historia, kwenye mbio hizo yumo mwanariadha wa kujitegemea aitwae Guor Marail.

Marial kwa asili anatokea Kusini mwa Sudan na ni mmoja wa wanariadha wakimbiaji wanne ambao wameteuliwa na kamati ya kimataifa ya Olympic na watakuwa wakibeba bendera ya Olympic. Mwanariadh huyu anaishi jijini Arizona nchini Marekani.

Guor-Marial-010.jpg

Guor Marial akifanya mazoezi kwenye mitaa ya Flagstaff jijini Arizona kabla ya kushiriki mbio za marathon kwenye Olympic 2012.

Mbio hizo zinatariwa kuanza saa tano asubuhi kwa Uingereza na kwa Tanzania itakuwa ni saa saba za mchana.

Kwa upande wa wanariadha wetu Samson na Msandeki hii itakuwa ni mara ya kwanza kukimbia mbio hizi ndevu zinazotarajiwa kuchukua muda wa saa 2 na ushei hivi. Samson ana umri wa miaka 29 na urefu wa mita 1.7 uzito wa kilo 51 na Ikoki nae ana umri wa miaka 26, urefu wa mita 1.8 na ana uzito wa kilo 68.

Rekodi mpaka sasa kwenye mbio hizo ni muda wa saa 2 dakika 3 na sekunde 38 na rekodi hiyo inashikiriwa na mkimbiaji wa Kenya Patric Maku Musyoki ambae aliivunja mjini Berlin Germany.

Basi tuwaenzi wanariadha hawa wawili wa Tanzania na tufuatilie ukimbiaji wao ambao leo unatarajiwa kushirikisha pia wanariadha hodari wengi kutoka nchi zingine.
 
Naona walikuwa wengi mno. Ila wataanza kupungua hasa akifika eneo la Bank. Ila Watz wapo wapi?

View attachment 61620

Mpaka sasa ni Mbrazil Almeida ndie anaongoza mbio hizi.

20120812_110548.jpg
 
Mkenya Kiprotich ndie ambae amechukua nafasi kwa sasa na anaongoza na ndie anatarajiwa kushinda mbio hizi mpaka sasa.

Jamani watanzania wapo wapi?
 
Mkenya huyu anafuatiwa kwa karibu na wakenya wenzie na wa-Ethiopia.
 
Kiprotich sasa amekimbia kilomita 22.5 na ametumia dakika 60.

Watanzania wawili wamekimbia. Hawaonekani ndani ya wanariadha tisa wanaochuana kwa sasa na imebakia saa moja.

Angalizo:

Kuna Kiprotich wawili wanaokimbia mbio hizi, William Kiprotich wa Kenya na Kiprotich wa Uganda ambae yum0o katika wanariadha tisa wanaochuana kwa sasa.
 
BAK hii ceremony imenoga sana, magnificent one!!..Enjoy nawe!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Britons deserve a pat on their backs...They did a wonderful job.

In deed, simply perfect!.. Road to Rio 2016, kule usikose BAK ukaburudike Samba na Zumba!! Ishallah

Sasa timu zote ninaingia uwanjani, imetulia aisee...nice music playing behind!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom