Logo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2011
- 588
- 48
- Thread starter
- #21
Nawewe unajiendea tu lakini unaonekana tu usivyoweza kugundua vitu! Hahahaaaa sasa unafikiri wewe kwanini Yesu alienda kumponya tena? Hii ni wazi kwamba Yesu aliona kuwa kuchelewa kwake ndiko kulikosababisha kifo cha Lazaro ndio maana aliumia akatoa na machozi kwani aliona kweli kuchelewa kwake kumesababisha hayo! Sasa akaona afute makosa kwa kumponya na ikawa hivyo! Sasa waliochelewa kupata dawa Loliondo wakafa wameponywa au wamezikwa?? Angalia impact baada ya tukio ndio ujaji!alikufa akisubiri au hakufa akisubiri? wewe umesema kuwa watu wanakufa wakisubiri tiba ya babu. Kana kwamba sehemu nyingine hawafi wakisubiri tiba. Babu yeye kapewa idara tofauti ya kuangalia. anyway...it seems u wont understand!