zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,935
Na kwenyewe wameandamwa! Wenye Grumeti waliisha wahi kupigiwa kelele kuhusu mahusiano yao na wahadzabe.
Sasa unataka kutuambia kwa vile wazungu nao wanafanya uovu basi tusiwaandame waarabu? Unaipenda kweli nchi yako au umeweka mbele uhusiano wako wa kidini?
Amandla....
Weka data zao hapa, waarabu ''wameua'' mbizi wanne kwa mujibu wa taarifa? weka data za hizo mbuga zingine tuzione.