Nyanidume
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,364
- 1,023
ha ha Ndallo umesema kweli,bila kusahau ndugu zetu wasonjo nao wengi ni kanzu na baraghashee,na zawadi za simu dah!
Acheni wivu wa kike huo, hautakufikisheni popote!
ha ha Ndallo umesema kweli,bila kusahau ndugu zetu wasonjo nao wengi ni kanzu na baraghashee,na zawadi za simu dah!
Wazee wa kutofukua makaburi.Hawa ni wale wale....Hakuna kiongozi mpya
HAWEZI KUTHUBUTU ANAWEZA KWA MBOWE NA SUMAYE TU.Asee hii nchi ni ya ajabu na kwa huu unafiki hatutafika kokote
Jana baada ya sumaye kupokonywa shamba tukawa tunabadilishana mawazo na wadau
Ilikuwa tunajadili ni sahihi au sio sahihi
Lkn katikat ya maongezi likaja suala la aridhi ya loliondo waliopewa waarabu karibu hekari alfu hamsini
Hill eneo ngozi nyeusi/watanzania hawaruhusiwi kusogeza pua wala kupitisha mifugo katika eneo hili
Wananchi wa loliondo wanaishi km wakimbizi kwenye aridhi yao aridhi ambayo wameitumia enzi na enzi
Mbaya zaidi katika eneo hill walilopewa waarabu halisomi network ya Tanzania tena yaan unapoingia nchi ya waarabu ndani ya Tanzania uko loliondo linakuonyesha network ya huko mashariki ya kati
Katika maongezi tukabaini kumbe lile eneo wamepewa waarabu kwa miaka 999 pmj na wanyamapori waliopo mle ni Mali yao
Mh. Magufuli kwa kuwa umeapa kurudisha heshima na utu wa mtanzania sisi tunasubiri kuona jinsi gani haya mashamba yalizawadiwa kwa waarabu yanarudi
Km mh sumaye haikuchukua hata sekunde kufikiria kumpokonya shamba lake
Ni kweli alimiliki shamba kubwa lkn kule loliondo ni km wilaya imenunuliwa
Tunahitaj tuone makali ya sheria itende kazi kwa wote isiwe kwa baadhi ya watu
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
😁😂😅😄HAWEZI KUTHUBUTU ANAWEZA KWA MBOWE NA SUMAYE TU.
jitokezani sasa waimba kwaya wa Lumumba.
Nafukua Kaburi
Hivi mgeni aliyekuja juzi na kupokewa na Membe ana uhusiano gani na Loliondo, Hazabe, Dowans na CCM?
Kwani mpaka leo hajawafukuza hata kimya kimya.HAWEZI KUTHUBUTU ANAWEZA KWA MBOWE NA SUMAYE TU.
jitokezani sasa waimba kwaya wa Lumumba.