Loliondo itaharibu KKKT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Loliondo itaharibu KKKT

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Plato, Mar 15, 2011.

 1. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Jenerali ulimwengu kauliza maswali machache tu,yaliyotosha kufungua akili.the miraculous healing at loliondo has no theological,biblical,or clinical grounds.kkkt has rushed to back the claims.they could take enough time to examine the phenomena,for, satan may do this to saw confusions.has the church done decernment of the spirit to know if it is authentic? Not all comes from GOD.
  Not long since the similar story rose and died in bkb.remember! DECI, POPOBAWA,The miraculous islamic child born with extraordinary knowledge on the quran? Where are they? If mama rwakatare can bring back to life only the misukule,why not those who are dead but not misukule.i have wrote this as Gaunilo said,ON BEHALF OF THE FOOL.
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hapa hujaeleza phenomenon ya Loliondo itaharibuje jumuiya ya KKKT. Theologically and Biblically what is happening in Loliondo has happened before in the Bible. Na kama Babu ni tapeli ataumbuliwa na hukumu yake inamsubiri mbele ya mwenyezi Mungu, na kama anachofanya ni maagizo ya Mwenyezi Mungu basi sifa zote apewe Mwenyezi.
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hata mm sijaelewe kkkt itaharibika vp kwa dawa ya babu, kwani ile dawa imetangazwa official na KKKT au hao KKKT ndo wanaotoa hicho kikombe??
  bilashaka hizi ni siasa nyingine za madhehebu na dini.
   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160  Iwapo watu wanapona, kuna haja gani ya theological,biblical,or clinical grounds?
   
 5. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Mchungaji 'mstaafu'.
   
 6. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sasa hapa kkkt inaingiaje, wewe kama uamini kama maggid, ulimwengu na wengi kaa kimya usubiri wakati wenzio wanapona
   
 7. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,025
  Likes Received: 8,513
  Trophy Points: 280
  Tumeshawazoe hao wakurupukaji na lazima wataumbuka tu
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Ana gubu? Siamini kama huyu ni Cacober....
   
 9. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Ulimwengu ndio huyo bwana huwa aamini kabisa kwenye mambo kama hayo.
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  tatizo la wanafalsafa huongea mawazo yao bila kupenda kufafanua zaidi
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  what is the objective of the concoction healing cum divine powers from loliondo......? a simple answer is cure

  an experiment is useless after a result has already being established ..... if people are getting well and cured by this cocktail it is better off than experimental thoughts like the ones we come with
   
 12. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Jenerali Ulimwengu hana dini yeyote anayoabudu
  KKKT ipo na itaendelea kuwepo
   
 13. A

  Anold JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Hatuwezi kumhukumu Generali kwani ni haki yake kikatiba kutoa maoni yake. KKKT imekuwa na mtumishi huyu akiwa kama mchungaji wa kanisa hilo kwa miaka mingi kipindi chote hicho amekuwa akifanya shughuli za kichungaji pasipo shaka hivi KKKT bado inamwamwini mchungaji huyo kihuduma. KKKT ni moja ya makanisa ambayo yanaamini miujiza na kuwa Mungu anauwezo wa kumtumia mtu yeyote pasipo mashaka ilmradi jina ya Yesu linatumika kwa usahihi kitu ambacho mchungaji huyo anakifanya na amekiri waziwazi kuwa kinachoponyesha sio maji ya mizizi hiyo bali ni neno la Mungu. sina uhakika kuwa Generali anamwamini Mungu wa KKKT kama sio hivyo ni afadhali akae kimya au ajaribu kufanya uchunguzi kwa hao wagonjwa waliopata hiyo dawa ili ajiridhishe na kutoa ushauri kwa KKKT. sijajua imani ya Ndugu Generali ila napenda nimjulishe kuwa kuna Mungu ambaye hana mipaka na anaweza kufanya jambo lolote bila kuulizwa swali, huyo ndiyo Mungu aliyeumba mbingu na nchi, bahari na wanyama na kila kitu ambacho kipo nje ya kazi za mikono ya mwanadamu, ni mungu wa ajabu maana mambo yake hayaelezeki. kutokana hili la Loliondo tunaamni ndiye Mungu anayeweza kufanya hivyo. Ingekuwa ni kazi za kishirikina mpaka sasa kwa wingi wa watu waliokwenda kule tungeshapata habari kuwa dawa inayotolewa na mzee huyo ni ya kitapeli. mpaka sasa kimya hivyo naomba generali asiwe na haraka ya kupinga bali afanye utafiti kwanza
   
 14. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Generali, You have to visit Loliondo for a cup of that kathing mkuu!
   
 15. Lawkeys

  Lawkeys JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 1,110
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Uhuru wa kuongea huu. Lakini, kama hujatafiti au huna personal knowledge, huna haki ya kuongea. Just imagine, nianze kuzungumzia opinion ya nuclear wakat cjagusa darasa
   
Loading...