Loh: Kumbe nimezaliwa leo!

Happy birthday Bosi......japo nimechelewa.
 
Reactions: Paw
King'asti Always you lead the way. Hao wengine ni wachokozi tu wala usihofu

Nikushukuruni wana Chit-Chat kwa kunitakia maisha marefu na afya huko mbeleni. Nami sitawaangusha ntapunguza chips yai ili kuishi kwenye wishes zenu....

Kwangu imekuwa faraja sana kupokea pongezi na chereko zenu. Juzi nimeng'oa jino na limeanza kuota kwa maombi yenu.


 
Last edited by a moderator:
hahaha! Una wivu wewe! Kisa tu mleta cake analishwa cake na BD boy? hahaha! Basi yeye awasimamie akina shem Asprin kule stoo ya vinywaji, hatutaki yatokee la last year ya kuiba glass champagne.
Kiukweli kabisa shem AshaDii, huku kwenye kamati ya vinywaji hatuhitaji msaada wala usimamizi wowote ule. Isitoshe vigezo na masharti ya jinsia lazima yaheshimiwe...

Baada ya kusena hayo namtakia Paw heri ya siku yake ya kuzaliwa.

Hii inamaanisha mwaka huu sitapigwa Ban hata nikimtukana Invizibo.

Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
 
Last edited by a moderator:
happy belated birthday Paw
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Paw
Du! haya mambo ya kufungiwa weekend haya.......
hata hivyo naona sijachelewa sana mkuu Paw, better than never
 
Reactions: Paw
 
Kengele za hatari zililia kichwani wakati nashusha mguu kutoka godoroni.

Nilipaswa kudamkia ibadani lakini guts zikanileta online, ndo nakutana na zahama la kuzushiwa kuaga dunia (ingawa poster alitaka kutumia tamathali ya semi).....
naomba katikati ya maombolezo yangu upokee heri yangu ya siku yako ya kuzaliwa mkuu..
nakutakia maisha mena na yenye furaha tele.
naomba unitumie hiyo picha ya keki tafadhali
 
Reactions: Paw
Paw Mkuu Happy Belated Birthday!!!!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Paw
Asprin unaogopa kumtukana Invisible? we tukana tu hata kama ni Fang huu mwisho wa mwaka wametoa ofa ya matusi free mshindi ataambatana na couple yake hadi Guatenamo naomba usinikumbuke kwenye ufalme wako nakutakia safari njema till next year
 
Last edited by a moderator:
Asprin unaogopa kumtukana Invisible? we tukana tu hata kama ni Fang huu mwisho wa mwaka wametoa ofa ya matusi free mshindi ataambatana na couple yake hadi Guatenamo naomba usinikumbuke kwenye ufalme wako nakutakia safari njema till next year
Ushindwe na ulegee, Paw akikupiga warning igeuke kuwa BAN!!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Paw
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…