Logo mpya ya Mashetani Wekundu Man U

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
2,958
1,883
155548_4780065178450_1691243138_n.jpg
 

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
2,919
1,226
Wivu mwaka huu utawaua! Pamoja na kushinda goli sita jana lakini waaapi! It was too late! poleni sana. Hahaha
 

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,123
16,435
Huo ndo ukweli wenyewe

Niliadhimia kuandika hivi kabla sijafungua thread: KAMA HIYO LOGO HAINA PICHA YA FILIMBI KATIKATI BASI NI FEKI.

Lakini baada ya kufungua, nimenywea. Yua rait mkuu, Marefa United, shukrani kwake Howard Webb ligi ya Premier imeshuka kiwango sasa ni German na Spain
 

kiwososa

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,124
440
Acha ushamba wewe!!!!
unataka kupeleka ubongo bongo wako kwenye ligi za watu????
umegongwa umegongwa acha kusingizia visababu vya kijinga
Kama ni UEFA hata mwakani ipo komaa utashiriki japo ingawa naona uelekeo sio mzuri kwa kuweza kufuzu mwakani au tufanye kabisa 2014/15
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom