Logic development (kuunga doti)

Centia2

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
1,018
1,621
Nikili wazi siyo mtaalam wa falsafa, ila katika maisha ya kila siku kila mtu hujikuta anatumia saikolojia ikiwemo na filosofia bila kujijua au kuwa na utaalam.
Mambo ni mengi yayofanya 'life circle' ya mtu.Mfano malezi,biashara,mazungumzo ya kawaida, mazungumzo na mke, mazungumzo na mchepuko, mazngumzo mchumba,bos ofisin,wafanyakazi wako.n.k
Yote haya ni vizur tukawa na machale.
NISIWACHOSHE. Kwa mfano:ULIZA MASWA 3 KUTOKANA NA SENTENSI HII(hapa jifanye upo unamhoji shahidi mahakamani/kwa mjumbe au uongozi mwingine ama mfanyakazi wako).
Sentensi hii hapa:JOSEPH AMERUDI KUTOKA DUBAI.
Ni sentensi fupi na inaeleweka ila kwa mtu makini lazima ahoji kitu ili kupata hata mtazamo mwingin zaidi.Mimi ningeuliza maswali matatu katika mfululizo huu,
1.DHIBITISHA KWAMBA NI KWELI ULIMUONA JOSEPH NA SIYO PASKALI(mdogo mtu)
2.KWANINI UNASEMA ALIKUWA ANARUDI NA SIYO KUONDOKA. ULIJUAJE KAMA NDO ALIKUWA AKIRUDI?
3.KWA JINSI NIJUAVYO, JOSEPH ALIKUWA HATOKI DUBAI BALI ALIKUWA MAENEO YA 'WEST AFRICA'
FAIDA ZA KUWA NA MACHALE:
1.Unakuwa makini.
2.Husaidia wakati wa kujitetea mfano. kwenye uongoz mbalambali, wakati umesingiziwa,umeshitakiwa, umetuhumiwa, umefumwa/kufumania.
3.Husaidia wakati wa kuhoji, kuhojiwa na interview n.k
4.Husaidia katika kuhakikisha usalama wako(hapa utajihoji/utahoji mienendo iliyo na utofauti katika mizunguko yko)
5.Husaidia ktk kuhakikisha usalama wa mali zako.Hii ni kabla&baada ya kuziacha/kuzikabidhi pahali.
MAMBO NI MENGI,MUDA NI KIDOGO.'TUKAZE'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom