Loe Dec 7 2023 natimiza miaka Sita ndani JF

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,421
Siku kama yeo mwaka 2017 niliingia rasimi katika mtandao wa JF imetimia miaka Sita kama mwana JF natoa shukrani kwa wana Jf wenzangu kwa michango yenu.

Nimebadili sana maisha yangu mtazamo wangu ndani ya hii miaka pongezi zangu kwa Moderator @maxemelo
 
Mwaka kesho natimiza miaka nane kumbe kuna umuhimu WA kusheherekea

Daah ila nimemis Sana Ile ID yangu

Moderator walinipiga life ban ila fresh tu
 
Back
Top Bottom