Lodge za Mtwara Mjini

Artimus ndio nani mkuu..Mimi mgeni kidogo mjini πŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. Ila pia iko centre kidogo sehemu za kula na kunywa zipo karibu ni kuswampa tu
Ilikuwa kampuni ya kufua umeme kwa kutumia gesi asilia ya methane,baadae ikauzwa Kwa Wentworth,na sasa inamilikiwa na Tanesco.
Enzi hizo hela ilikuwepo na ndipo naff blue ilibamba
 
Ila huku safi sanaa hamna mambo mengi kama mikoa mingene , wale wauza vitu pia hakuna. Safi sanaa
 
Twiga lodge
Kuna UTI za bei rahisi kabisa pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…