Lodge nzuri Mbeya Mjini

Kings inn- jacaranda

Kuna lodge ipo matola nimeisahau jina

Mkulu hotel- soweto

Gr hotel - soweto gr is my fav kuna wahudumu warembo balaa u may get lucky

Hizo ndizo nilizo wahi kulala mimi
 
Kupo shwari sana mkuu, hakuna kokoro, tena karibu mitaa hiyo hiyo ndio kuna pub kali zaidi mbeya nzima inaitwa City pub, jioni jioni panachangamka sana hapo
Aliyekwambia City Pub ipo Soweto Nani na wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom