Kwahyo angekuwa anakutongoza ungemwachia tu ushindi kirahis hivyoDogo unapogundua unayebishana naye ni mtoto, siyo lazima ukomae hadi ushinde.
Unamwachia tuu ushindi.


Kwahyo angekuwa anakutongoza ungemwachia tu ushindi kirahis hivyoDogo unapogundua unayebishana naye ni mtoto, siyo lazima ukomae hadi ushinde.
Unamwachia tuu ushindi.


namtolea maji ya kuoga nje.
Naomba ikujibu kisomi.Sasa hujawah kuwaona siku ukiwaona utawajuaje kama ni wenyewe maana ukute hapo ulipo unao ila sababu huwajui


Kunguni ni mdudu complicated, unaweza ukamuona sehemu kumbe umemleta wewe hapo | assume usingemuona angekuwa kwenye nguo then ukaenda kumuona kwa mshikaji ungeleta mada iyoiyo kwa muhusika “mshkaji”
Saa saba mchana.Kabisa iyo itakuwa sangapi aoge nje
Baby Doll anaogea nje watoto wapo hawapo au ni zile bafu za madale passport sizeSaa saba mchana.
Kunguni ni mdudu complicated, unaweza ukamuona sehemu kumbe umemleta wewe hapo | assume usingemuona angekuwa kwenye nguo then ukaenda kumuona kwa mshikaji ungeleta mada iyoiyo kwa muhusika “mshkaji”
Nguo alizobeba na begi maana huenda wamejificha humo ndani hadi kwenye walletWatoto watakuwa shuleni.
Inabidi afanye tuu hivyo hamna namna.
😂😂😂😂😂Kunguni ni mdudu complicated, unaweza ukamuona sehemu kumbe umemleta wewe hapo | assume usingemuona angekuwa kwenye nguo then ukaenda kumuona kwa mshikaji ungeleta mada iyoiyo kwa muhusika “mshkaji”
Haahaa hapo umewaua kunguni ila mayai yao mazima kabsa subiri tu yaanguliwe utaona moto wakeNina miaka 31 sasa hivi lakini sikuwahi kukutana wala kumjua kunguni anafananaje. Ila wiki iliyopita nilishangaa usumbufu usiku nikilala naona mdudu naua ila baadae anatokea mwingine nikaua mmoja nikashangaa damu kwenye mto. Ikabidi nichukue simu ni google Kunguni matokeo ya picha yalipokuja nikashangaa anafanana kabisa na mdudu niliemuua.Asubuhi kutoa godoro nje nikakuta wameweka kambi kwenye ile mikunjo ya Godoro. Nilinunua Rungu zote ziliishia kwao. Naona hizi siku mbili tatu kitandani pametulia.
BASATA waifungie hiyo gestinikiwa mteja wa lodge hii ya KILIMANJARO hapa njia panda ya Kisasa hapa mjini Dodoma leo asubuhi na mapema nikijiandaa kwenda mazoezini nikaona mdudu akizuzula kwenye net yangu na baada ya kumbonyeza akatoa damu.Chukueni tahadhari kwani unaweza kulipa lodge 30,000 au 25,000 dodoma na bado ukabeba kunguni ukapeleka kwny familia
nikiwa mteja wa lodge hii ya KILIMANJARO hapa njia panda ya Kisasa hapa mjini Dodoma leo asubuhi na mapema nikijiandaa kwenda mazoezini nikaona mdudu akizuzula kwenye net yangu na baada ya kumbonyeza akatoa damu.Chukueni tahadhari kwani unaweza kulipa lodge 30,000 au 25,000 dodoma na bado ukabeba kunguni ukapeleka kwny familia
5000
Ulichotakiwa kufanya ni kuongea na hao wenye hiyo Hotel na sio kuja huku maana kama wapo hapo ungewaona na wengine tena mngeenda hadi vyumba vingine sema maisha yalivyo kasi kwa ajili ya kuharibiana biashara na mshindani wako mambo haya yanatokea ingawaje hapo panaweza pakawa na kunguni ila kwa wewe tuu kusema bila wao kuthibitisha hao wadudu wana tabia ya ajabu sana utasema umewaona hapo kumbe umetoka nao mbali ...
You made my day! Nimecheka hadi machozi.Wajinga ñdiyo waliwao guest unalala ya tsh 5,000 kwa siku! Mimi hapo siku mbili na buku inabaki ya kununulia maji na mihogo. Mnapenda sana maisha ya raha nyie wadada wa siku hizi.