Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 4,880
- 22,052
Mimi mtoto wa kike siwezi kulala stend.Mkuu, mbona unajitesa sana. Sada si nafuu ulale wima stend
Nilitegemea ungechukua jukumu LA kuanza kunilipia maana hali yangu inaonyesha imekusikitisha.
Mimi mtoto wa kike siwezi kulala stend.Mkuu, mbona unajitesa sana. Sada si nafuu ulale wima stend
Mimi mtoto wa kike siwezi kulala stend.
Nilitegemea ungechukua jukumu LA kuanza kunilipia maana hali yangu inaonyesha imekusikitisha.
Sawa mkuu, tena hiyo ya 5000 bado huwa inaniuma kweli. Natamani zingekuwa hata za buku.Nimesikitika ndio. Na nipo tayari kutoa msaada. Ila kulala sehemu ya elfu 5 nafuu kuesha tuu. Maana utakosa usingizi mbaya zaidi utaambulia kunguni
Sikukimbia dogo.
Sawa mkuu, tena hiyo ya 5000 bado huwa inaniuma kweli. Natamani zingekuwa hata za buku.
Sikukuona lakini, au ulikuwa unajikunguta wale kunguni?Sikukimbia dogo.
Sawa, nategemea uniunge mkono.Ahahahahha. Kuna haja ya kuboresha, uchumi wako
Acha kujumlisha babu, mi nakaa Dodoma mbona hapa kwangu hivyo vitu hamna? Uchafu wa mtu binafsi usiufanye uonekane ni uchafu wa mji mzima...Dodoma ndo kwao na Kunguni. Majumbani huko wamejaa na wala sio swala geni kwa wakazi.
Sikukuona lakini, au ulikuwa unajikunguta wale kunguni?






ndiyo dogo. Niliona nikiingia ndani nitawahamishia kwako.Sijajumlisha ila to be honest tatizo hilo ni kubwa Dodoma.Acha kujumlisha babu, mi nakaa Dodoma mbona hapa kwangu hivyo vitu hamna? Uchafu wa mtu binafsi usiufanye uonekane ni uchafu wa mji mzima...
ndiyo dogo. Niliona nikiingia ndani nitawahamishia kwako.
Acha nije tuu sasa hivi maana naona mfadhili wangu hapa ameshanikimbia.Asante dogo kwa kunijali.
Nakusubiri, ukiwa tayari nijulishe.
Sawa, nategemea uniunge mkono.
MythKunguni ni mdudu complicated, unaweza ukamuona sehemu kumbe umemleta wewe hapo | assume usingemuona angekuwa kwenye nguo then ukaenda kumuona kwa mshikaji ungeleta mada iyoiyo kwa muhusika “mshkaji”
ungekuwa mkewake ungekuwa umempa adhabu kali sanaSasa hapo ukirudi kwako, simama nje vua nguo zote, oga huko huko nje ndiyo uingie ndani.
Pole sana.
Sasa hujawah kuwaona siku ukiwaona utawajuaje kama ni wenyewe maana ukute hapo ulipo unao ila sababu huwajuiHapana, hata sijawahi kuwaona .
Ila nimeshasoma sana kuhusu hawa wadudu na namna wanavyohama.
ungekuwa mkewake ungekuwa umempa adhabu kali sana



namtolea maji ya kuoga nje.