Lodge Kilimanjaro ya Dodoma ina kunguni

Lodge Kilimanjaro ya Dodoma ina kunguni

mpepo

Senior Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
106
Reaction score
73
nikiwa mteja wa lodge hii ya KILIMANJARO hapa njia panda ya Kisasa hapa mjini Dodoma leo asubuhi na mapema nikijiandaa kwenda mazoezini nikaona mdudu akizuzula kwenye net yangu na baada ya kumbonyeza akatoa damu.Chukueni tahadhari kwani unaweza kulipa lodge 30,000 au 25,000 dodoma na bado ukabeba kunguni ukapeleka kwny familia
 
Kunguni ni mdudu complicated, unaweza ukamuona sehemu kumbe umemleta wewe hapo | assume usingemuona angekuwa kwenye nguo then ukaenda kumuona kwa mshikaji ungeleta mada iyoiyo kwa muhusika “mshkaji”
 
nikiwa mteja wa lodge hii ya KILIMANJARO hapa njia panda ya Kisasa hapa mjini Dodoma leo asubuhi na mapema nikijiandaa kwenda mazoezini nikaona mdudu akizuzula kwenye net yangu na baada ya kumbonyeza akatoa damu.Chukueni tahadhari kwani unaweza kulipa lodge 30,000 au 25,000 dodoma na bado ukabeba kunguni ukapeleka kwny familia
Mkuuu hyo haifai kabisa nilihama hapo nikahamia NEEMAN 11 hapo kisasa dadek kunguni hatar
 
Pole sana mkuu nao wamefaidi kama wewe ulivyoenda kufaidia hapo
 
Back
Top Bottom