Lodge kali Songea Mjini

Wakitafuta waziri wa gesti hauzi Jeiefu, nakupendekeza wewe...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie hizo nazijua, kwa kuwa naziona nikiwa napita karibu na maeneo hayo. Lol
 
Duh mkuu kama meneja mwandamizi.
 
JF Great Thinkers, hakiharibiki kitu, nmeshafika Songea, nimekula lunch Delight Garden Park, lodge =PNC hotel, ahsanteni watu wa Jamii Forum
Usiku huu nenda La charlz au Chantaburi ukasuuze koo na maji ya uzima.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cocastic hongera, nimeonaa umechukua fomu ya mboga mboga kugombea Ubunge huko.
 
Wella sio pabaya kuna jamaa chini pale anakaanga mbuzi na vitunguu vingi
 
Songeo napo kuna mademo afu wakalo tu
Sema shida hawalewo
 
Shangaa wewe sasa, watu wana kelele humu alafu ukute Dar yenyewe kapanga kwenye zile nyumba kati korido huku chumba kule chumba πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kama kwenye kombolela.
Kuna siku nilikwambia hizi fake ID ukiunganisha dot wallaih unaweza mjua mtu.

Kuna mdada maarufu sana humu, nilikuta post insta yuko shughulini alafu kala tag pale. Jina lake likanigusa moyoni. Nikacheki post zake, nikarud humu kucheki comments zake. Wallaih 95%naamini ni yeye. Na jina analotumia insta na hapa limetofautiana herufi 1 TU.

Kama ni yeye kweli, na ninaamini ni yeye, aiseee, watu tunachukuliana poa, huyu Dada anaishi jamani, alafu mzuriiii 😍😍
Mimi dar najiegesha ila huyu Dada wa mkoani anaishi jamani, aaah. Watu wanapambana na big business mikoa, mawinga wa kariakoo na mabando yao wako kuwanyali watu na maisha yao. Eti kisa dar.
 
Wengi wamejichubua aisee mimi huwaga sina mzukanaoπŸ˜†πŸ˜†
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wengi wa wapi jamani, mbona unawasingizia hivi. Emu sema uliko niambie watoto wazuri wapite hapo uje utoe ushuhuda hapa.
 
Hapo sasa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…