Lodge kali Songea Mjini

View attachment 3395961

Hicho ni kionjo cha wanaume, bado wanawake!
Mkuu umenikumbusha mbali sana, hahahaaa
Kulikuwaga kuna kundi LA lizombe nadhani kutoka kiwanda cha tumbaku(kama sijakosea lilikuwa linaitwa sontop). Duh, kuna wakaka wanaviuno jamani πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kama kuna kitu kuna kitu mamaangu kanipiga utotoni, ni huu ujinga wa kufuata lizombe hata kilomita 100. Tunakusanyana watoto kundi kwenda kwa mzee kajogoro πŸ˜„πŸ˜„
 
Wakitafuta waziri wa gesti hauzi Jeiefu, nakupendekeza wewe...

 
Afu watu wa humu sijui wakoje, utasikia sehemu hii hakuna mademu wakali,
Yaani utafikir hiyo sehemu wanakaa nyani. Mi ndio maana nasemaga fake accounts zina raha sana, usikute anayepondea mademu mwenyewe mafimafi TU.
Msichukulie watu poa.
 
JF Great Thinkers, hakiharibiki kitu, nmeshafika Songea, nimekula lunch Delight Garden Park, lodge =PNC hotel, ahsanteni watu wa Jamii Forum
Jioni pigapiga misele maeneo ya LIZABON huwezi kosa wa kuchinja
 
Weka na bei zake mkuu kama utakuwa unazifahamu,, hata ranging price
 
Umeelezea deep sana, unaishi huko ? Usengwili wenga 😊 πŸ˜ƒ
 
JF Great Thinkers, hakiharibiki kitu, nmeshafika Songea, nimekula lunch Delight Garden Park, lodge =PNC hotel, ahsanteni watu wa Jamii Forum
Bado hujapata Demu mkuu..πŸ˜„
 
Kama kuna kitu kuna kitu mamaangu kanipiga utotoni, ni huu ujinga wa kufuata lizombe hata kilomita 100. Tunakusanyana watoto kundi kwenda kwa mzee kajogoro πŸ˜„πŸ˜„
Wengi yulichapwa kwaajili ya hii ngoma, nakumbuka walikuja dada zangu kunitafuta usiku nikajificha chooni mpaka walipoondoka nikarudi nyumbani saa 8 usiku nikapokelewa na fito za uhakika 🀣
 
Vijana wachache sana wanaorudi Nyumbani wengi wao wanakubali wateseke wadhalilike ili mradi waendelee kuishi Dar.
Hicho kitu nilisha kataa, siwezi maisha ya kuigiza.
Kwani Dar ni kitu gani? Nimekaa pale miaka 5, ilivyoisha nimeondoka zangu.

Yaan mtu utaabike. Uhangaike, udhalilike eti kisa kukaa Dar, wakati nyumbani kupo tena fresh kabisaa..
Aaah wee!! Niko home na life linasonga km kawaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…