Lodge kali Songea Mjini

Deo Lodge Ipo Hapo Jirani Na Kiwanja Cha Mashujaa
Ni Jirani Kwenye Huduma Muhimu, Banks Zote, Migahawa Homo, Krista
Unaswampa Tu Na Mji
 
😂😂😂😂
Afu huwezi amini, hakuna hata 1 niliyowahi gusa hata mlango wa Reception..

Naziona tyuuh nikiwa napita karibu na maeneo hayo. Lol
Haa Haa Himo, Krista Bado Zinapiga Kazi
 
Mbona unamtajia za zamani wakati kuna vyuma vipya , hapo wela pasafi kiasi
 
Zinapiga kazi haswaa, afu sahivi imeibuka mpya inaitwa Delight iko hapo jengo la NSSF, karibu na hospital ya mkoa. Napo panabamba hatariii.
Hapo Niliingia Pako Safi Safi Kuna Huduma Nzuri
 
Mbona unamtajia za zamani wakati kuna vyuma vipya , hapo wela pasafi kiasi
Za zamani zipi? Yeye c kataka kali na zilizo town?

Zamani hapo ni Ugabe na OK, but still ziko good as if ni mpyaa, zingine hizo mbna ni mpyaa.
 
Tanzania ndo nchi pekee nyumba za wageni wanalala wenyeji..!! 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…