Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 21,014 Nov 18, 2012 #21 Baba V said: Mkuu piga kikonyagi kisichana, lazima itoke!! Click to expand... mkuu vidude huwa vinafunguliwaje maana kuna siku vilinikata mkono. nasikia huwa vinapigwa kwa chini but it does'nt work for me!
Baba V said: Mkuu piga kikonyagi kisichana, lazima itoke!! Click to expand... mkuu vidude huwa vinafunguliwaje maana kuna siku vilinikata mkono. nasikia huwa vinapigwa kwa chini but it does'nt work for me!
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Nov 18, 2012 Thread starter #22 Red Giant said: mkuu vidude huwa vinafunguliwaje maana kuna siku vilinikata mkono. nasikia huwa vinapigwa kwa chini but it does'nt work for me! Click to expand... mkuu inatakiwa utingishie kabla haujaipiga kwa chini. Unaipga kwa kushtua dizaini hivi. Mwulize PakaJimmy huwa ndo ananifunguliaga Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Red Giant said: mkuu vidude huwa vinafunguliwaje maana kuna siku vilinikata mkono. nasikia huwa vinapigwa kwa chini but it does'nt work for me! Click to expand... mkuu inatakiwa utingishie kabla haujaipiga kwa chini. Unaipga kwa kushtua dizaini hivi. Mwulize PakaJimmy huwa ndo ananifunguliaga
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 Nov 18, 2012 #23 Baba V said: Mkuu piga kikonyagi kisichana, lazima itoke!! Click to expand... Konyagi! achanganye na alicho kunywa jana mbona lazima itoke yenyewe..
Baba V said: Mkuu piga kikonyagi kisichana, lazima itoke!! Click to expand... Konyagi! achanganye na alicho kunywa jana mbona lazima itoke yenyewe..
Woga tupa kulee JF-Expert Member Joined Sep 4, 2012 Posts 1,749 Reaction score 1,312 Nov 18, 2012 #24 Sasa unakwenda kanisani,na bado unakunywa pombe hivyo kumkosea Mungu. Huoni kuwa ni muhimu kuwa na ibada itakayo badili maisha yako? Nakushauri uokoke,utubu na kuziacha dhambi zako,naye Yesu atakusamehe kabisa. Ubarikiwe na Bwana.
Sasa unakwenda kanisani,na bado unakunywa pombe hivyo kumkosea Mungu. Huoni kuwa ni muhimu kuwa na ibada itakayo badili maisha yako? Nakushauri uokoke,utubu na kuziacha dhambi zako,naye Yesu atakusamehe kabisa. Ubarikiwe na Bwana.
mtotowamjini JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 4,525 Reaction score 1,179 Nov 18, 2012 #25 aisee bro pombe umeanza kunywa lini? mlevi hata siku moja hasahau neno la Mungu....Mbona ukiwa umelewa bado unakumbuka unakoishi?
aisee bro pombe umeanza kunywa lini? mlevi hata siku moja hasahau neno la Mungu....Mbona ukiwa umelewa bado unakumbuka unakoishi?
ummu kulthum JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 2,784 Reaction score 1,317 Nov 18, 2012 #26 boogaloo n maeneo gani ili nikija niende?
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Nov 18, 2012 Thread starter #27 ummu kulthum said: boogaloo n maeneo gani ili nikija niende? Click to expand... Ukifika Arusha ulizia Boogaloo au Njiro Complex, au jina lingine Njiro Cinema unafika
ummu kulthum said: boogaloo n maeneo gani ili nikija niende? Click to expand... Ukifika Arusha ulizia Boogaloo au Njiro Complex, au jina lingine Njiro Cinema unafika