Local Media na tukio la Gongo la Mboto

Sijaelewa kwa nini inakuwa hivi, tangu jana, baada ya milipuko ya Gongolamboto, hatujapata a good report from the scene, hususan katika televisheni zetu. Jan ITV walikuwa wanaendelea tu na kipindi maalum cha mkutano wa viongozi wa dini, TBC wakiendelea na kipindi maalum cha Maulidi, Star TV nayo mambo sijui ya tamthilia.

Sasa hivi pia, no one is there, ukiachailia mbali ripoti za asubuhi katika taarifa za habari na kidogo ile ya TBC walioweza kufika kule, na taarifa ya Pinda bungeni, nothing is going on...wanaweka katuni, picha za Ki-Nigeria, wengine habari za huko nje, basi.

So wanasubiri kuitwa na akina Shimbo na Mwinyi waambiwe so so so and so, kisha watuletee. PLZ TV guys do ur homework. Picture whether in print or televisheni, tell more, especially kwenye event kama hizi. PLz. Msisubiri press conferences na press releases.

Sitashangaa kama Mafisadi ndani ya Serikali wamewaonya kutangaza kuhusu maafa hayo maana hii Serikali ya kifisadi inaweza kufanya chochote kile ili kuendelea kubaki madarakani

Watu wamekufa, mali zimeharibiwa kwa uzembe wa jeshi!! Kama kawaida utasikia nonsense kibao za serikali watasema hili ni tukio la kawaida tu limewahi kutoka hata hapa tz hata china etc etc just to play down the incident! Kwa sababu hatujifunzi kwa makusudi they will go further utasikia tukio hili ni tofauti na la Mbagala ili kuficha ukweli. Nonsense zingine ni wananchi wanakaa karibu na kambi za jeshi. It hurts....... may the souls of those who died rest in peace!
 
Tunahitaji citizen journalism. Huko ndio ulimwengu wa habari unakoelekea. The "established media" in Tz is unreliable.
 
Kwa kweli inashangaza kila media inaendela na program zake as if hakuna kunachoendelea.. Nimejaribu kubadilisha channels hizi local na radio kama nitaambulia chochote lkn wapi.. Kama habari za jeshi ni siri basi angalau wafanye kazi ya kutuhabarisha kina nani wako wapi ili angalau kwa wale wasiojulikana waliko wapate misaada. Kazi za media ni pamoja na kuhabarisha, sasa kama katika suala nyeti kama hii wameshendwa...............................
 
vyombo vyeti ni vya kishamba kabisa, hakuna breaking news, hakuna chochote. mimi muda mwingi naangalia citizen tv, kbc ya kenya na zingine kwenye king'amuzi...nikiangalia za tz naona kichefuchefu..hakuna breakign news, hakuna habari ya kisomi zote utafikiri watu wamefikia certificate ya uandishi wa habari pale buguruni...waandishi wetu kwanza si wasomi, na hata tv zinaendeshwa kama tunaishi Russia vile, tunafichwafichwa information sana, hata hayo mabom ya leo, kama wamekufa watu mia mbili utaambiwa wamekufa hamsini...habari ikitokea wanaificha kwanza hadi wachujee ndo wanaileta badaye...ndio ajabu ya Tanzania hiyo.
 
Nimekuwa natazama TBC One kuonyesha na kuomboleza matukion ya mabomu wao wanapiga miziki ya kina Beyonce na wengine wa uchi uchi. SHAME UPON U TBC ONE. Igeni channel ten wanachofanya sasa hivi .siku nzima wana kipindi maalum kusaidia watu kupata ndugu zao na hatua za kuchukua wanapokuwa na wasiwasi na vyuma vilivyo zagaa mitaani.
 
Dah umeilaumu TBC peke yake je TV nyingine zinaonyesha au maana sie wengine hatupati hizo TV za home
 
Hawa jamaa wakiona jambo linawahusu viongozi haswa likiwa -v impact ya uzembe kama hii huwa wanakaa mbali kuepuka kutolewa kafara kama Tido
 
Jamani media za bongo mmesahau wakenya walivyosema kuwa zinalialia kwa mkwere hivzo kutokuwa against naze_ Hapa hapa watu walikuwa wakali kweli, watanzania hatutaki kushauriwa wala kukosolewa ndo walivyo viongozi na sisi wenyewe....tutulie tuone taarifa kamili kuhusu mabomu hayo ya gongo la mboto na kamwe hawajibishwi mtu yoyote, nani mwenye kudhubutu kumwajibisha mwenzake?Kikwete? Thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
napata uchungu wa nchi hii..kila cku mambo ya ajabu yanatokea mara Richmond, mara mabomo Mbagala, mara Downs hata hatujatulia leo Gongolamboto mabomu..TBC ikowapi na kauli yao ya UKWELI NA UHAKIKA??? au wanasimulia habari za watu binafsi tu kama Dr. Slaa kafanya hiki kafanya kile? TBC1 tunawategemea katika kutuhabarisha.. bigup kwa vyombo vingine vya habari vinavyotoa taarifa za mabomu!!!!!!
 
Sijaelewa kwa nini inakuwa hivi, tangu jana, baada ya milipuko ya Gongolamboto, hatujapata a good report from the scene, hususan katika televisheni zetu. Jan ITV walikuwa wanaendelea tu na kipindi maalum cha mkutano wa viongozi wa dini, TBC wakiendelea na kipindi maalum cha Maulidi, Star TV nayo mambo sijui ya tamthilia.

Sasa hivi pia, no one is there, ukiachailia mbali ripoti za asubuhi katika taarifa za habari na kidogo ile ya TBC walioweza kufika kule, na taarifa ya Pinda bungeni, nothing is going on...wanaweka katuni, picha za Ki-Nigeria, wengine habari za huko nje, basi.

So wanasubiri kuitwa na akina Shimbo na Mwinyi waambiwe so so so and so, kisha watuletee. PLZ TV guys do ur homework. Picture whether in print or televisheni, tell more, especially kwenye event kama hizi. PLz. Msisubiri press conferences na press releases.

Hizi media nazo zimeshachakachuliwa,,,,,,zimebakia chache mno zinazofanya kazi ambazo zinapaswa kufanywa!!!
 
Nimekuwa natazama TBC One kuonyesha na kuomboleza matukion ya mabomu wao wanapiga miziki ya kina Beyonce na wengine wa uchi uchi. SHAME UPON U TBC ONE. Igeni channel ten wanachofanya sasa hivi .siku nzima wana kipindi maalum kusaidia watu kupata ndugu zao na hatua za kuchukua wanapokuwa na wasiwasi na vyuma vilivyo zagaa mitaani.
Mkuu na wao wanaogopa yaliyomkuta Tido. TBC ni CCM na ccm ni tbc
 
Hizi media zetu zinashangaza sana, yaani utafikiri hadi wapate agizo ndio watoe taarifa! Shida ni vitendea kazi au uhuru wa habari tatizo?
 
TBC kutoa habari za mabomu ni kuwafunua boss wao....ccm. shame on them. wanalamba kodi zetu bila kazi ya maana.
 
Hawa jamaa ni hopeless sana hii ndio ingekuwa issue ya wao kufanya coverage kuliko TV nyingine nilishindwa kuwaelewa toka jana usiku ITV nilikwenda nao mpaka saa 7 usiku nikirudi kwa wanapiga muziki nilijiuliza sana wanashangilia?lakini nikagundua wanaogopa mpaka wizara ya habari ichuje taarifa yao ndio warushe hewani,wenzao walikuwa wanaonyesha kila walichoweza kuonyesha na taarifa zote muhimu walijitahidi zionekane,TBC baada ya TIDO haina mda mrefu maana nayo itakuwa inatoa taarifa za uongo tu kwa amri ya viongozi wa serikali.
 
Dah umeilaumu TBC peke yake je TV nyingine zinaonyesha au maana sie wengine hatupati hizo TV za home

TBC ni television pekee ya umma, tulitegemea wao wawe mbele zaidi ktk hili, wanakila kitu na interest pia ni kubwa zaidi kuliko kwa vyombo vingine vya binafsi
 
Wanasubiri waje waitwe waelezwe. na hii ndio aina ya waandishi tuliyo nayo. Habari imbayo ina changamoto katika kuitafuta wanaogopa kuitafuta na wanasubiri waletewe. Humu humu jamvini kumejaa watu kibao wanaojiita waandishi wa habari tena huwa wanajinadi sana eti wao ni waandishi wazoefu. Sasa mbona hamtuletei habari hizi? Au umahiri wenu ni wa kudandia habari?
 
Tatizo ni kuwa vyombo vya habari Tz sio professional kwa utoaji habari. Vyote vipo kwa ajili ya kujenga maslahi binafsi ya watu au vikundi fulani. Wameajiri watangazaji ovyo, watawala ovyo, na wameweka mitambo ovyo pia...
Hapana siyo kweli maana redio free africa imekuwa ikitangaza mara kwa mara
 
Back
Top Bottom