Fahari omarsaid
Senior Member
- Feb 8, 2011
- 101
- 13
Hii ndo TZ nchi yenye udongo wenye dhambi
Inasikitisha sana kuona vyombo vyetu vya habari vinakosa vipaumbele
ambavyo ni muhimu kwa masilahi ya uma
Binafsi nimeshangazwa sana how scanty the report from our major electronic media houses was/have been....Ukisikiliza redio one sasa utasikia wanazungumzia umuhimu wa kuvaa soksi safi na umbea mwingine, clouds nako mipasho na vituko tu, EA radio muziki kwa kwenda mbele nk.watu wengi wangependa kujua je is it safe sasa kwenda maeneo ya huko pugu, Jet, Airport nk kwasababu wengine huko ndiko wanapopata mkate wa kila siku. Traffic ikoje kwa wanaotumia barabara hiyo....hali za mahospitalini ,kuwa na frequent taarifa juu ya watu/watoto waliopotea. Pia kuna amabao tungesafiri leo, je mamlaka ya viwanja vy ndege inasemaje nk....
iiiiiit iiiiis because of ccm and its government!!wanaonesha akina mama na watoto jamani wamechoka wanapata shida sana. Poleni sana akina mama it is soooooo saaad
Waandishi wa habari wa Bongo waoga ndugu yangu....mabomu yalipuke umwone paparazi wa kibongo kwenye tukio?..... Hayo waachie akina Anderson Coopers wa CNN na wenzake wanaoona vifaru mitaani Egypt wanatoka Atlanta na kutia timu eneo la tukio...
Bwana asante lakini kwa hili sijui kama watona thread yako labda wataamka