Ulivyoongelea kishabiki hapo...wewe lazima utakuwa baadhi ya waliokosa mkopo HESLB wakati huo ukawa private, hela ya kwenda Meeda mpaka ukaombe kwa baba, pole!
Inayolipwa ni tuition fees tu, na sio allowances za vitabu, kujikimu, na/au mafunzo ya vitendo! Na tunalipa hayo madeni, acha wivu! Msiolipa jamani muanze kulipa wadogo zetu nao wasome!
Hilo ndio neno hasa kwanini wengine wasomeshwe kwa ruzuku wengine wakopesgwe? Hebu jamani tuwaombe waliobobea kuchanganua sheria waangalie je hiyo sio sheria kandamizi?Huu ndo ubaguzi, na ndio maana SILIPI.Haiwezekani kwa wengine msaada, halafu kwetu ni mkopo!!