LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

dah!kweli unafananisha udsm na tumaini...una akili timamu kweli mkuu?
 
Mmmmh basi kama ni hivyo wangepata ajira wa UDSM tu ni kwasababu ya ukongwe wa chuo tu ila waliotoka vyuo vingine wako juu kushinda wa UDSM so ni ukongwe tu
Yap,true,UDSM ni ukongwe tu,mi nlishawahi kufanya usaili tulikuwa IAA,IFM,UDSM, na vyuo vingine post ya IT.Nakwambia ile post walipata IFM na IAA. UDSM chalii!so UDSM ni jina tu si tupo nao tunawaona wahitimu wa UDSM huku maofisini!Therez nothing special abt them,kawaida sana tu!
 
Inamaana swali la mtoa mada ni gumu sana kwako mkuu..!?

Jibu swali la mtoa mada...
Chuo kipi ni bora katika taaluma ya sheria kati ya UDSM na Makumira..?


Inashangaza sana ndugu...
Swali la mtoa mada lilikua jepesi sana...
Ila watu bado wanazunguka tu..!
sikumjibu mtoa mada, kuna mtu nilimjibu hapo juu
 
Back
Top Bottom