Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
ni kweli ameonewa, na atakata rufaa, na itasikilizwa baada ya miaka 3 mingine, maana amepewa siku 90 za kukata rufaa, mjibu rufaa naye anapewa siku 90 za kujibu rufaa. Msajili anazo ziku 90 kuipangia siku ya kuisikiliza, hakimu naye ana toa siku 90 za kujiridhisha. Halafu siku 90 za kufanya final submission na siku 90 za mwisho za kusoma hukumu!, jumla ni miaka 3!.
Hahahahahahah jamani ubadhilifu wa Ma bilioni ya pesa unafungwa 2yrs, ngoja na mie nikaibeeeeeeeeeeee
Dah! Hiyo kali.
Tafsiri yake inategemea n'tu na n'tu.
Nini kigezo cha kusema "ndogo sana jamani" . Kuna watu wanatumia magari ya serikali kubebea majani ya ng'ombe, kuna wengine wanatumia hela za serikali na kutofanya kazi inayotakiwa au iliyoainishwa, wengine wanachukua imprest au per diem hawaendi, kuna tofauti gani na huyu bwana ambaye jengo lipo na linaonekana kwa nini useme muda ni mdogo.
Tuanze kutoa boriti kwenye macho yetu, huyu hana tofauti yoyote na watanzania wengi walio maofisini.
Kama ndio hivyo basi kesi za trafiki tungeenda jela wote. Kama kifungu cha adhabu kinatanguliza faini na kifungo baadaye ni vyema wakati wa kuhukumu hakimu aanze kama ambavyo watunga sheria wamesema. Kama bunge lingeona kosa hilo ni kubwa kustahili kifungo basi wasingeweka faini wangetanguliza kifungo tu moja kwa moja. Ndo maana awali nilisema mushkeli upo katika adhabu aliyopewa mshtakiwa na inaweza kuwa sababu kupewa dhamana wakati anasubiri rufaa yake kusikilizwa.
..Huyo xmas atakuwa uraiani kama kawaida maana kwenye ile sikukuu ya kusheherekea miaka 49 ya uhuru lazima JK ampe msamaha tu...Ndio njii yetu ya wadanganyika!Ndo maana yake, lakini atatoka na msamaha wa rais kabla ya mwisho wa mwaka huu
Nini kigezo cha kusema "ndogo sana jamani" . Kuna watu wanatumia magari ya serikali kubebea majani ya ng'ombe, kuna wengine wanatumia hela za serikali na kutofanya kazi inayotakiwa au iliyoainishwa, wengine wanachukua imprest au per diem hawaendi, kuna tofauti gani na huyu bwana ambaye jengo lipo na linaonekana kwa nini useme muda ni mdogo. Tuanze kutoa boriti kwenye macho yetu, huyu hana tofauti yoyote na watanzania wengi walio maofisini.
Nchi hii hamuijui? Wezi wote wanajulikana kwenye vyombo vya dola. Kuanzia wahindi wanaohujumu uchumi wa nchi, wanasiasa wezi wa mali ya umma, wauza unga, matapeli wa kimataifa mpaka majambazi ya kutumia silaha! Wote wanajulikana, ila hawafikishwi kwenye vyombo vya sheria, na wakifikishwa pesa zao zinawatosha kushinda kesi.
Take my words, nchi hii ukiwa na pesa, hata kama ni za wizi hufungwi. Huyu Liyumba kafungwa kama kiini macho tu!
...utawaweza wadanganyika?
Weshasahau na tena wanasubiria kuwapigia kura 'Mapapa na Manyangumi' wanaotuhumiwaiwa kwa maskendeli ya mikataba feki ya madini, kesi ya Radar, wizi wa EPA na Richmond....wanamshikia bango 'kidagaa!'
Hilo la kisasi cha JK nalo linazungumzwa sana mitaani, kwani kuna nini hapa....mdau unaweza kurudi na kutupa ufafanuzi juu ya hayo, ama ni yale yale ya kusikia kama ambavyo nami nasikiaga pale kijiweni kwangu SUWATA,Liyumba hatapata msamaha wa JK. Kuna kisasi hapo. Lakini atatoka jela 23.9.2011. Atakuwa ameshatumikia kifungo chake, pamoja na kuwa
na tabia nzuri na uongozi jela.
Ni yale yale uliyoyasikia kijiweni kwako. Yanahusu yule kisura wa gauni jekundu.Hilo la kisasi cha JK nalo linazungumzwa sana mitaani, kwani kuna nini hapa....mdau unaweza kurudi na kutupa ufafanuzi juu ya hayo, ama ni yale yale ya kusikia kama ambavyo nami nasikiaga pale kijiweni kwangu SUWATA,
Atatumikia takribani miezi mitatu na siku kadhaa tu kwani tarehe 9 Desemba atatolewa kwa msamaa wa Raisi.
Lakini sidhani kama Liyumba alishtakiwa kwa sheria hii ya kupambana na rushwaAngalia kifungu cha 31 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, 2007, Na. 11/2007:
"31. Any person who intentionally abuses his position in the
performance or failure to perform an act, in violation of law, in the
discharge of his functions or use of position for the purpose of
obtaining an undue advantage for himself or for another person or
entity, commits an offence and shall be liable on conviction to a fine
not exceeding five million shillings or to imprisonment for a term not
exceeding three years or to both."