Livingston Lusinde: Amani na utulivu haviwezi kuwepo kama kuna wanaomsema vibaya Magufuli

Hiyo hoja No 5 nimeielewa sana. Nguvu kubwa ilitumika wakaingia. Ni kweli walikua hawachaguliki ila wakapitishwa
 
Bingu manayake nini we kisirani.
Mbona wewe huyo maiti anakunyima usingizi nawenzako mkisikia katajwa tu mnakurupuka kuzima jinalake.

Alikuwa mtu wa haki ndio mana wachumia tumbo mtakufa nakinyongo mkimkumbuka mbaka mnakataroho.
JPM mtu wa haki!!!!???
Utakuwa hujui maana ya haki wewe.
 
Darasa lasaba kushauri mwisho kijijini kwakehuyu anashauri jambo la kitaifa kwa akili gani!!!
Yaani alifeli KKK alafu Leo anatushauri watu na mashule yetu!! Jinga
 
Watanzania Katiba Mpya ni muhimu sana kabla watu aina ya samurai hawajayakwaa madaraka makubwa ya nchi huko mbeleni tena.

naomba nisiandike sana, ila ukifikiri kwa undani sana utagundua hizi nchi masikini huku dunia ya tatu kwa nini zinahitaji viongozi wanyama ili ziendelee....

Kuna minyororo lazima ivunjwe kuvuka hapa na kwenda mbele... kuivunja hiyo minyororo kunahitajika roho mbaya, ukatili na Unyama...

Kwa bahati mbaya tulio wengi ni mashabiki wa siasa na waumini wa maslahi binafsi hatuwezi kuona mambo mengi tunaishia kujitia upofu...
 
Yaani Nchi ikose amani kisa maiti imesemwa???


Pumbavu, dikteta atalaumiwa Hadi na vizazi vijavyo
 
Kwani asisemwe yeye ni Mungu,, wanamsema Nyerere sembuse yeye,, kila bidamu ana faida na hasara (mapungufu yamo tena mengi)
 
Unajua stori ukichukulia njiani kichwa kichwa itakupeleka ndugu yangu,huyo jamaa(Samurai) kadai Tanzania kuna PUMBAVU nyingi ambazo Magufuri alizikomesha kama hiyo ya nguzo na mengine,nikamwuliza je hizo pumbavu nyingi zilikuwa zinasimamiwa na wabunge wa upinzani? Hapo sikupata jibu,hoja yangu kwako huu wizi wa Tanzania umesababishwa na vyama vya upinzani?
 
Hapa ndio naona kuna umuhimu wa kina Heche/Mnyika kurudi bungeni kwani mabilioni ya fedha za walipa kodi zinapotea kwa wabunge aina ya Livingston
 
U
Uyo muhutu katuachia deni kubwa bila sababu
 
Yaani la kuuwa watu halisameheki hata kama angefanya nn
 
Kwahiyo anataka hao watu wafanywaje wanaomsema vibaya Magufuli? Tatizo anasahau kuwa watu wanamsema vibaya sio kwa kumchukia yeye kama yeye Magufuli Ila matendo yake maovu aliyoyatenda. Na ajue nao wanatumia haki yao kama yeye alivyotumia ya kwake.
Mbona kikwete alisemwa vibaya na bado katulia tuu sijakuona mwana ccm yyt akimtetea
 
Sisi tuna amani Wewe Lusinde kama huna Amani ni matatizo yako Binafsi
 
Huyu mzee porojo na Pumba ndio huwa zinamfikisha bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…