Liverpool vs Arsenal EPL 8/2/2014 Live Updates

Liverpool vs Arsenal EPL 8/2/2014 Live Updates

Niko na Mshabiki wa Arsenal anakataa kulipa bill ya bia alizokunywa lakini tunampa matumaini kua hayo magoli yatarudi na anatullia! More Updates coming!
 
Kuna njama nini? Sitaki kuamini updates za JF ngoja niende mwenyewe kwenye Luninga kuangalia.
 
Pia tuko na Mashabiki wa Man U lakini naona wako upande wa Liverpool leo!
 
Suarez kwa nini hufungi leo?
 
Duh! Tanesco wamekata Umeme tafadhali naomba Updates mlioko kwenye Gridi ya Taifa!
 
Back
Top Bottom